Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mazao tuna export sana tu lakini yanaenda hinterland countries ambazo hazitumii bandari, kama tunapeleka DRC, Malawi, Uganda ni wapi bandari itahusika?
 
Aisee, aloo...! umetusanua, Mkuu safi sana sijawahi fikiria namna hii. πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
Hata kwenye kuzalisha umeme Kenya na Uganda wanaingiza sana mafuta mazito fossils ya majenereta ya kufua umeme wakati Tanzania tunatumia local natural gas yetu kwa wingi, usitegemee tufanane
 
Hawa Wasengerema wa Malawi wako tayari watu wao wafe njaa ila wasinunue mahindi kutoka Tanzania? Ajabu.

WFP wamesema ni uzushi usio na msingi kwamba mahindi Yana ugonjwa wa lethal ,hivyo wamependekeza importation ya unga badala ya mahindi Ghafi kutoka Tanzania.

Malawi wanakabiliwa na njaa Kali na wanaishia Kwa Msaada wa WFP.

Haka Kamalawi kamekuwa kasenge kama Kunyaland 🀣🀣

 
Atokee wapi wakat mpaka wamiliki wa kampuni za bus ni watu kutoka nje ya kenya
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Unaongelea Tanzania ama? Ama unadhani hatujui mabasi zenu zimemilikiwa na warabu, wachina, wahindi, na wakongo?
 
Childish views
Keep quiet juu hamna such buildings in Uchawiland. Actually all the tall buildings in Dar is slum are half empty, that's why there are no more tall buildings being constructed. Tanzanians are poor by default.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…