Imagine kuongea kizungu huku ukikohoa😂
Nilipokuwa nabishana na JF yoote humu kuhusu ulimbukeni wa kuwapa tenda Yapi Merkezi bila kushindanishwa nililiona hili!Shida ni nn?
Mkandarasi amelipwa au nn shida?
View: https://twitter.com/JamiiForums/status/1743590009674817739?t=zQbJ3TZXoMjbv6uOxDcRgQ&s=19
Unataka hiyo section iisheeje mkuu.? Mbona hata zile overpass zote DSM ziko na progress nzuri tu.?Nilipokuwa nabishana na JF yoote humu kuhusu ulimbukeni wa kuwapa tenda Yapi Merkezi bila kushindanishwa nililiona hili!
Wakina ichoboy01 wakaona nawabania Yapi Merkezi na nawewekea usiku! Hii section sijui kama itaisha!
Usiwe mbumbumbu naongelea section ya Makutupora-Tabora iliyotolewa bila ushindani! Usiniudhi!Unataka hiyo section iisheeje mkuu.? Mbona hata zile overpass zote DSM ziko na progress nzuri tu.?
Mji mtamu sana huu hasa sisi tupendao wanyama wa mjini kuna kila aina aisee!Huwezi jutia kuwa Arusha hasa sisi tunatembelea mara moja moja na per diem zetu.😀
🤣🤣🤣🤣 Wanajua fika kwamba baada ya hayo makubaliano, Lamu port itabaki kuwa ni tembo mweupeWakunya wakipiga njuru dhidi ya makubaliano ya nchi jirani yasiyowahusu!
Northern Kenya MPs oppose Ethiopia-Somaliland Red Sea access deal
MPs from Northern Kenya have warned that the pact will have a spillover effect on Kenya should a conflict ensue.www.theeastafrican.co.ke
Mijitu ya Ovyo EA, yaani jirani akinufaika inajikuta kutaka kumkingia. EACOP inajikuta kuandamana utafikiri ni Bomba lipo nchi yao.Wakunya wakipiga njuru dhidi ya makubaliano ya nchi jirani yasiyowahusu!
Northern Kenya MPs oppose Ethiopia-Somaliland Red Sea access deal
MPs from Northern Kenya have warned that the pact will have a spillover effect on Kenya should a conflict ensue.www.theeastafrican.co.ke
Ila hayawahusu ni sawa GoK ipinge ujenzi wa SGR kwenda Burundi! Wasipoangalia watagombana na Ethiopia!🤣🤣🤣🤣 Wanajua fika kwamba baada ya hayo makubaliano, Lamu port itabaki kuwa ni tembo mweupe
Pata picha zile infrastructure za international airport na mahoteli ya Chato yangekuwa hapa!Geita … Imagine this is one of uncountable urban settlements we have in TZ, ingekuwa ukunyani hii ingeitwa vibrant supermodern transformative eco international city
View: https://youtu.be/XMWjzgAXb8Q?si=86WBbEwmhKqzNzax
Typically afrocan uswazi ndio urban settlement!!!!Geita … Imagine this is one of uncountable urban settlements we have in TZ, ingekuwa ukunyani hii ingeitwa vibrant supermodern transformative eco international city
View: https://youtu.be/XMWjzgAXb8Q?si=86WBbEwmhKqzNzax
You have a point mkuu .Pata picha zile infrastructure za international airport na mahoteli ya Chato yangekuwa hapa!
You have a point
But Not as worse as the Third world poverty stricken hugger & jigger infested Narok, Ludwar , Lamu , Kilifi, ukunda, garisa etcTypically afrocan uswazi ndio urban settlement!!!!
Je tunauhakika gani kama serekali inawalipa wakandarasi kwa wakat??Shida ni nn?
Mkandarasi amelipwa au nn shida?
View: https://twitter.com/JamiiForums/status/1743590009674817739?t=zQbJ3TZXoMjbv6uOxDcRgQ&s=19