Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Bamjomba ni kiasi cha kununua bus za umeme tu hata Tukiamua sasa kubadlisha magari yetu yote ya BRT na kuya'replace na magari ya umeme inawezekanaDodoma na Arusha wafikirie kuwa na mwendokasi(BRT) ya umeme kama Senegal
View: https://www.instagram.com/p/C1wMZfBNqjx/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Wakenga wenye akili zao hawajui kudanganyaπWachana na huyo mjinga. I have given him a list of all the road projects under LAPSSET project na urefu wao siku n kilometers. Namgonja arudi na povu round two
mbona? Nipe reason why ya umeme wakati tuna gesi? Kipi bora na more practical? Kuwa na magari ya LNG nchi nzima au ya BRT ya umeme Arusha na Dodoma?Dodoma na Arusha wafikirie kuwa na mwendokasi(BRT) ya umeme kama Senegal
View: https://www.instagram.com/p/C1wMZfBNqjx/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Both tuwe nayo ya umeme na gas pia hakuna kinachoshindikana chini ya juambona? Nipe reason why ya umeme wakati tuna gesi? Kipi bora na more practical? Kuwa na magari ya LNG nchi nzima au ya BRT ya umeme Arusha na Dodoma?
ila lng cars zipewe priority kwanza!Both tuwe nayo ya umeme na gas pia hakuna kinachoshindikana chini ya jua
Ndio but ni bora kua na source nyingi zaidi hata za mafuta pia ziwepo ni muhimu sanaila lng cars zipewe priority kwanza!
Hoja hapa ni kwamba tuhame kutoka kwenye diesel twende huko kwenye renewable be it umeme au gasmbona? Nipe reason why ya umeme wakati tuna gesi? Kipi bora na more practical? Kuwa na magari ya LNG nchi nzima au ya BRT ya umeme Arusha na Dodoma?
Kwa hiyo kucompile vimiradi uchwara na kuvipa jina 1 ndio big deal? Sasa miradi ya Kigoma wakiamua na wenyewe kuicompile na kuipa jina moja itakuaje? ππ300km road is 70% complete. This is Lapsset.
View: https://twitter.com/KenMOJA/status/1706270138729742794?s=19
Data za matakoni hizi, hamna hata kilometers 400 mliojenga so far πππMradi uliofeli?? Hivyo ndio unajiconsole?
Among the road projects in LAPSSET are the following and all are done and dusted
1. Lamu-Witu- Garden road (113km);
2. Lamu-Garissa-Moyale (530Km);
3. Isiolo-Moyale-Hawassa (505km);
4. Isiolo-Lokichar-Nadapal-Torit-Juba (700Km);
5. Isiolo β Marsabit β Moyale (505km)
Wewe endelea kujiliwaza na story za vijiweni hapo gongo la mboto
We nenda kadeki mashonde ya ngamia huko lamu port uondoke kutupigia kelele humu πππWachana na huyo mjinga. I have given him a list of all the road projects under LAPSSET project na urefu wao siku n kilometers. Namgonja arudi na povu round two
Hutakaa umuone πππTuwekee progress ya hiyo miradi yote, na uweke mradi ulifunguliwa lini.
Wewe marketing ofisa au mchambia mwiko tu.....nyie ndiyo mnazunguka na mafurushi ya mizigo viatu vimewaponda.....acha kushoboka shoboka....kama unakosa hoja uwe unafunika kundu lakoWewe kima ka uelewa wako mdogo unadhani ni nani hajazunguka Tz humu.? π€£π€£π€£ Binafsi sio kuzunguka tu, nimefanya kΓ zi za marketing kwenye mikoa isiyopungua ishirini hapa Tz, ni Mzaliwa wa Tanga mjini, nimewahi kuishi Arusha 3 years, nimesoma Mwanza 3 years, kwasasa naishi Dar es salaam na huu ni mwaka wangu wa 4 consecutive. Nimezunguka mikoa yote ya kanda ya ziwa, kaskazini, nyanda za juu kusini+ central zone.. huko kwengine kote ambako sijaishi nilipelekwa na kΓ zi za marketing, sasa sijui we kima utanieleza nini mimi.?
Hivi kati yenu nani anamkula mwenzie....πππWe njuka kaa kwa kutulia humu