Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisirani ni wewe kilaza wa Tandale. Even if I do the conversion, it still beats you by far.

If the figures in dollars inazidi yenu ya dollars so what makes you think the conversation will make any difference? Wewe ni dwanzi sana by the way!!
Conversation? We nyumbu kalale au tafuta hata ukoko ule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uyo kaweka tena gtc ya mchina, yani 24/7 hakuna mradi mpya zaidi ya gtc na expressway vyote vya mchina 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kaumia!! πŸ˜‚πŸ˜‚
Jiulize ni kwa nini huyo mchina alichagua Nairobi kawacha Jiji la uswazi Dar
 
Kaumia!! πŸ˜‚πŸ˜‚
Jiulize ni kwa nini huyo mchina alichagua Nairobi kawacha Jiji la uswazi Dar
Huyo mchina eti ndio anawaundia warehouse. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mafala hata warehouse hawawezi jijengea.
 
Uyo kaweka tena gtc ya mchina, yani 24/7 hakuna mradi mpya zaidi ya gtc na expressway vyote vya mchina 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
And just for the records, miradi mipya yamejaa but we rarely post them.

This is Altura Towers in Upper Hill, 30 floors

This one is 1870 West Towers in Westlands. A twin tower of 30 floors each

88Nairobi. 44 floors and the tallest residential building in East and Central Africa



And many more. Show me any building under construction above 30 floors in Dar is slum ndio tuanze kuongea about new projects as you imply above
 

Attachments

  • images - 2024-01-05T221523.600.jpeg
    64.2 KB · Views: 29
Kwa hiyo hayo majengo ndio miradi?😁
 
Kwa kweli ni vichekesho πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kaumia!! πŸ˜‚πŸ˜‚
Jiulize ni kwa nini huyo mchina alichagua Nairobi kawacha Jiji la uswazi Dar
Kwa sababu Bongo tupo tofauti kidogo kuanzia suala zima la ardhi, mpaka sera ya Umiliki wa vitu vya umma.

Unataka mchina ajenge Expressway kwa 550m alafu atulipishe tuielewe Serikali?

Na kipindi hicho Tulikua na Serikali (JPM).

Kwamba JPM asaini ujinga wa 550m utakaotumika baadae kufanya mambo magumu kwa wananchi?

Kitu ambacho serikali iko na uwezo hata wa kuzijenga hizo express way 10 na Uchumi uwe vile vile kama hakojatokea kitu na Serikali yetu haiangalii DAR tu inaaangalia NCHI NZIMA sio kama nyie NAIROBI.

Kwa sera yetu ni ngumu kwa hayo mavitu kufanikiwa maana unakua huna hakimiliki kamili, juu ya ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…