Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pangani bridge tanga kazi imeanza
Daraja la muda la mkandarasi
View attachment 2860619
Hizi daraja wazinyanyue ili hapo chini kuwe na uwezo wa kupita boat za mizigo,kwa mfano ile nyerere bridge ingekua juu halafu kule kurasini kungejengwa dock yard kubwa sana kama wanavyofanya nchi za ulaya hasa holland
 
ofcorse meli za mizigo haziwezi pita ila private boats zinapita! na kama unajua TPA plan marina, cruise ships terminal zitajengwa Kunduchi na Slipway!

Limenyanyuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…