ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,863
Tabu Yao itaishia sio mdaHii nchi nayo iache ujinga Nyerere aliwapa Tanga port kitambo kipindi cha Obote mpaka leo hawajafanya chochote! Sasa ukiwa unategemea nchi kwa 90% madhara yake ndio haya!
Kwenye suala la soka hivi vitimu vya EA hatuna mpango navyo, jana APR kapigwa kirahisi sn na Singida FG kwenye mapinduzi cup.
Hata wewe unajua kwamba hiyo bus imetengenezwa Kenya. It's currently the most trending bus in Tanzania.Wakunya walivyo manyumbu, watakwambia wao ndio wametengeneza
View: https://www.instagram.com/reel/C1Z81HJqW18/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
According to who njorogi ??🤣🤣🤣
Naona dafu la Kenya linazidi kuporomoka tu kwa Tsh 😂Asante MUNGU 🇹🇿🇹🇿🤗🤗
View attachment 2859822
Ndio watu walikuwa wana suggest nchi zifanye biashara kwa saratu za ndaniNaona dafu la Kenya linazidi kuporomoka tu kwa Tsh 😂
Dharau kubwa sana kwa fukwe kubwa kama hiiPazuri sana Aisee、 Jana kulikua na Watalii nane na watoa hudum wanne tu kisiwa kizima.
View attachment 2859238
View attachment 2859239