Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ina maana gani? Wana disposable income kuliko sisi au nchi yetu nzuri sana? Hata mimi mwishoni mwa 2022 nilienda Mombasa nilikuwa napishana na gari nyingi za Kenya zinakuja Tz.
Hata sisi huku kwetu watanzania wengi wanaenda vacation nje, nchi yao pendwa ni SA, so kila nchi watu wake wengi wana ndoto za kwenda nchi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…