Inefficiency.View attachment 2858522View attachment 2858525
Kunyan zingatia na tarehe kwa picha zote 2,baada ya hapo uingie ndani kwenye kibanda chako cha mabati hapo kibera ukalie vizuri,TZ this time atucheki na kima na hata hii jam bado kabisa,hatutaki nchi yoyote ya central corridor inapitisha hata kiberiti kimoja kwenye bandari ya kunyaland na soon sgr ikifika mwanza tu uganda nayo tunaibeba 100% port mwanza to port bell
Nionyeshe popote hio ndege kuwa imenunuliwa kati ya 2015 hadi 2023. Lasivyo, 2024 tutaendelea kukuita mbumbumbu humu ndanHizi ndio ndege Mpya mlizokuwa mnanumua Kwa mabilioni na kuweka sherehe ya kupokea?
Rudisheni chenji zetu
View: https://www.instagram.com/p/C1hY9ZsIP7A/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Alinunua nani hiyo ndege?Nionyeshe popote hio ndege kuwa imenunuliwa kati ya 2015 hadi 2023. Lasivyo 2024 tutaendelea kukuita mbumbumbu humu ndan
Keshokutwa ile dude karibia mita 200 urefu litatia nanga klg out anchor dar port kutushushia tones zetu 29242 za petrol πInefficiency.
Hiyo ndege ni Dash Q ngapi?Alinunua nani hiyo ndege?
Hiyo bus direct kutoka China hamna uwezo wa kujenga hiyo body!Marcopolo bus Export to Tanzania
View: https://twitter.com/TBoundBuses/status/1741457297048522903?s=19
Imenunuliwa awamu gani hiyo?
Oyaa Teargass mbona hatuoni basi zenu even Built in Kenya for kunyans. Ninaanza kufikiri kama hizo basi mnazotuletea kama sio za public vile bali ziko kama Special Hire.
View: https://twitter.com/Mekatili_KE/status/1738492824851493251A mighty bus terminal π π π€£ π€£ π π
Uko na Ubongo wa Jerry fish, si ulidakwa ukadai ni fake kutoka China, now umepigwa nyundo ta kichwa kwa bandari unataka kulamba matapishi.Marcopolo bus Export to Tanzania
View: https://twitter.com/TBoundBuses/status/1741457297048522903?s=19
Hi ni ndege ya kikwete, Simon alishasema hapa, "ndege za Magufuli chata ya Air Tanzania ipo juu ya madirisha".Hizi ndio ndege Mpya mlizokuwa mnanumua Kwa mabilioni na kuweka sherehe ya kupokea?
Rudisheni chenji zetu
View: https://www.instagram.com/p/C1hY9ZsIP7A/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Mim sijui chochote kuhusu haya mamboπ
Ila wacha nipost tu kama ChoiceVariable
View: https://twitter.com/YerickoNyerereT/status/1741101073887039770?t=lkw1Ds_Ghi3eZz5NCJmFdg&s=19
View: https://twitter.com/YerickoNyerereT/status/1741129440690655363?t=vxBzynuQLQSfmUOReFaSLA&s=19
Yule nyang'au Kipchirichir arap Teargas anasema eti bandari ya Dar inahudumia vijiboti vidogodogo tuππKwa kweli wakenya wanahaki ile video kuwauma π π π π π π
View attachment 2858888View attachment 2858889