Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah kweli Kenya na buses zao za vitambaa vya kochi, zero safety concerns, body mbayaa, bati full, unakuta mtu anakuja na kelele weee.

Sasa Bongo yaje kufanya nini kama si kujipatia hasara, yalivyo mazito si yatakua yanakula fuel sana, na kwa sababu chuma full yatakua na joto hatari. Pamoja na kucontain vumbi kwa sana kulingana na seat zao za vitambaa vya sofa. Mwisho kuishis kufuga kunguni.

No wonder tuliyaditch kitambo, ni hasara hayana improvement kwa tech.
 
Hizi nchi zote umetaja hapa ni takataka tupu. Na eti uko proud!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mchina ni kama maji usipokunywa utaoga ndio maana africa nzima inahamia china kwenye bus ikiongozwa na tanzania

Congo, zambia, malawi, burundi , uganda, mozambique,zimbabwe, rwanda bus zilizojaa ni za kichina na sasa nimeona kenya wameanza kununua bus za kichina
e
 
Mkuu Teargas lakini haya mabasi ni things of the past....manufacturer lazima wa 'UP their game' hata hii 'matatu culture' itaenda perish tu, coz exposure inavyoongezeka lazima ita affect market force, good example ni busgo zinavyozidi ku gain market, mpaka traditional business people wa matatu wanachanganyikiwa. Mchina ana offer modern, safe and cheap buses....haya mabodi ya chuma ndani kuna injini za malori yanaenda kutupwa kuleee.....it is manufacturer have to change, engage best design, technical team....najua kwa sasa wanapambana sana na market forces using old tactics wanasahau customers washabadilika, na hapo ndiyo 'ucartel' una thrive Kenya....mchina kaja kufanya biashara Africa, anaiba kwa akili.....wakati wafanya biashara wa zamani wamebaki na dhana ya kuiba tu kwa mteja.
 
These buses have a lot of technical design flaws.....good thing ni vile tu huwa na ma injini yenye nguvu....na hizo ma injini ndiyo huwa inapelekea bodi zake zinawahi kuchoka, honest speaking management za makampuni zipo conservative huku zikichangiwa na mamlaka kutokuwa serious na usalama wa vyombo vya kusafirisha abiria....
 
Uganda ndio mumeona ni WA kuwauzia ma scrappers yenu? 😆😆

Tanzania tunanunua vitu vya ukweli piruu
20231216_183142.jpg
20231216_183135.jpg
20231222_103454.jpg
 
Dah kweli Kenya na buses zao za vitambaa vya kochi, zero safety concerns, body mbayaa, bati full, unakuta mtu anakuja na kelele weee.

Sasa Bongo yaje kufanya nini kama si kujipatia hasara, yalivyo mazito si yatakua yanakula fuel sana, na kwa sababu chuma full yatakua na joto hatari. Pamoja na kucontain vumbi kwa sana kulingana na seat zao za vitambaa vya sofa. Mwisho kuishis kufuga kunguni.

No wonder tuliyaditch kitambo, ni hasara hayana improvement kwa tech.
Kwanza Yana muonekano wa kishamba hovyo kabisa hayo yabakie huko huko kericho ndio maana Tzn huwezi Kuta hayo matakataka wanayoita Mabasi.
 
Mpaka south africa mchina katawala huko, nigeria, egypt au je hukuona bus zilizotumiwa world cup qatar??😅😅😅😅😅

Hvi ww china unamchukulia kama level yenu nyinyi ??😅😅😅😅😅😅
Ebu tuonyeshe bus company ya South Africa that bought aChinese bus in 2023.
 
Back
Top Bottom