The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
na kwann tuandamane wkt tunapata mahitaji yote muhimu. Andamaneni nyie inatosha, mna represent EA sio mbaya, ila sisi hatutaandamana kamwe labda ifike time tunakosa chakula kama nyie kitu ambacho hakitaweza kutokea kamwe, Tanzania ni nchi iliyoumbwa nyie vinchi vyenu viliongezewa ili kukamilisha ratiba.Siku Wabongo watapata ujasiri wa kuandamana 90% ya barabara zitafungwa hapo bongo.
Tanzania ilianza nyie mkafata, cc ndio tulianza kuwa na GDP kubwa kabla yenu, cc ndio tulianza kuwa na skyscraper kabla yenu.Hawa wamepata skyscraper ya kwanza 2014 na apartment ya kwanza 2010 huwezi waambia kitu sasa. Ujeuri wa maskini kupata.
Budget and GDP are two different things. Typical Bongolala lack of understanding.Sio kweli, Hiyo USD 30B ni only 50% ya GDP ya TZ in 2020
real GDP ya tz ni $150b nafikiri hata wewe unakubaliana nami now.Budget and GDP are two different things. Typical Bongolala lack of understanding.
Nani asiyejua hilo dogoBudget and GDP are two different things. Typical Bongolala lack of understanding.
Hivi bado uko fluent kama Wode Maya 🙂
Kuhusu hii project ya $30B, kweli ipo. Ni Magufuli ndiye aliyekuwa akiwawekea kauzibe Exxon na Shell hadi baadhi ya congressmen walilalamika.Your projects over 10 years ni $20B za kulipia alafu mjenge moja ya $30B? Acheni ufala.
Acheni mkumbo. Shida ya tanesco haipo hivyo, afu huko ni kuongeza matumizi yasiyokuwa na ulazima. Wakenya wenyewe wameligawa shirika lao hizo sehem tatu lkn wana shida zaidi yetu.Tanesco needs to be unbundled into production, transmission and distribution ili kuleta ushindani na affordable rates. Huu mchakato ulishaanza Magu akapiga stop kama nakumbuka vizuri.
Watu wana-bore humu ndani yaani tumetoka ku-merge institutions wengine wana-propose tu-split!Acheni mkumbo. Shida ya tanesco haipo hivyo, afu huko ni kuongeza matumizi yasiyokuwa na ulazima. Wakenya wenyewe wameligawa shirika lao hizo sehem tatu lkn wana shida zaidi yetu.
Tanesco nzima, mtu tukaemkumbusha aliekuwa na maono ya kutuondolea shida ndan ya miaka michache ijao licha ya upinzan uliokuwepo kutoka ndan na nje ya nchi ni Magu.. JNHPP.. huu mradi ni ukombozi mkubwa, (na kutuondolea zile kampuni au mikataba uchwara za kiufisadi). Kwa zile zogo za watu wa nje au eti kulinda democracy ya uchumi, mama angesurrender asubuh na mapema.
Hapa bado sijazungumzia suala la kutaka kujenga hydropower plants (kampuni za nje hazitii miguu yao humu) nyingi kuliko au kustopisha gas power plants (humu vikampuni uchwara vya nje ndo huwa zinafaidika sana)
Elewa context we kilaza. Analinganisha hiyo fedha na GDP just to show how big the project is.Budget and GDP are two different things. Typical Bongolala lack of understanding.
Tembea duniani uone mashirika ya umeme yanavyo operate ndio utajua kuwa huu mfumo wa Tanesco haufai hata kidogo. Umeme upo kila sehemu lakini gharama za kunganisha ni kubwa people cant afford pia neglect ya transmission ndio chanzo kikubwa cha ufanisi mdogo umeme mwingi unapotea kwenye transmission.Acheni mkumbo. Shida ya tanesco haipo hivyo, afu huko ni kuongeza matumizi yasiyokuwa na ulazima. Wakenya wenyewe wameligawa shirika lao hizo sehem tatu lkn wana shida zaidi yetu.
Tanesco nzima, mtu tukaemkumbusha aliekuwa na maono ya kutuondolea shida ndan ya miaka michache ijao licha ya upinzan uliokuwepo kutoka ndan na nje ya nchi ni Magu.. JNHPP.. huu mradi ni ukombozi mkubwa, (na kutuondolea zile kampuni au mikataba uchwara za kiufisadi). Kwa zile zogo za watu wa nje au eti kulinda democracy ya uchumi, mama angesurrender asubuh na mapema.
Hapa bado sijazungumzia suala la kutaka kujenga hydropower plants (kampuni za nje hazitii miguu yao humu) nyingi kuliko au kustopisha gas power plants (humu vikampuni uchwara vya nje ndo huwa zinafaidika sana)
Kama ni 10B USD mbona SGR Iko 10+B USD na bado kuna miradi mingine inafukuzia karibu ya hapo, Total 20+USD Billion, inakuaje hapo?Keep fooling yourselfs. Your yearly budget is just 18B USD alafu mnaaminishwa mtajenga terminal ya 30B na mnashangilia? No wonder you are so full of yourselves.
Which roads mzee, roads yoyote yenye full traffic Bongo, lazima iwe inapitikaSiku Wabongo watapata ujasiri wa kuandamana 90% ya barabara zitafungwa hapo bongo.
Huo ndio mfumo unaotumika duniani kote ukaya America na asia na umeleta ufanisi mkubwa sana kwenye masuala ya umeme. Wewe unafikiri kwanini mpaka leo matumizi ya umeme hayakui Tanzania? Kila siku tulo kwenye 1400MW sababu mteja ndio amfate ranesco kuomba umeme na hongo atoe nacsia distributor kufata mteja na kumshawishi amuunganishie umeme.Watu wana-bore humu ndani yaani tumetoka ku-merge institutions wengine wana-propose tu-split!
Hivi nyie hamna vitu vingine vya kupost zaidi ya vipicha vya majengo. Maana hata sioni kwenye hizo picha kuna nini cha ajabu.
Okay Okay okay, tumekubaliii, sawa imekuaje sasa tulipotoka hapo tukaja FIRST BRT, FIRST CABLE STAYED BRIDGE, FIRST ELECTRIC SGR, FIRST 2 GIGAWATT DAM, FIRST AIRLINE WITH CASH PURCHASED PLANE, FIRST GOVERNMENT CITY, FIRST LONGEST PIPELINE.PSPF twin towers were completed in 2014. They were the first buildings over 100m in Tanzania. Blame your lack of information for your tirades, not me.