Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tutakopa huko kwa alshabaab basi...pumbavu mkubwa..πŸ˜€πŸ˜€
Eti kenya inajilinganisha na usa wakati kenya hata hakuna kampuni ya ndani ya kenya inayoweza kuikopesha serikali mnaiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba mwaka ujao[emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Kumbe siku zote wanapiga kelele humu yani Debt to GDP ratio ni 60% hapo kuna uchumi kweli πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe wanamadeni mpaka matakoni
Mungu huwa analipa hapa hapa duniani, hawa walikuwa na mdomo mdomo sana, sasa mambo yamewashinda wanaanza matusi, hakuna kutukana ukweli unjidhihirisha, na hakuna nchi jirani inayowahurumia sababu mdomo mdomo wao.
 
Eti kenya inajilinganisha na usa wakati kenya hata hakuna kampuni ya ndani ya kenya inayoweza kuikopesha serikali mnaiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba mwaka ujao[emoji36] [emoji36] [emoji36]
Huo ndio ujinga wao kuwapigia hesabu za debt america wakati wao ni masikini wakutupa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Eti america ana deni la 103% lini ameskia america inayumba wakat pesa ya kenya iko under dollar control
 
Eti kenya inajilinganisha na usa wakati kenya hata hakuna kampuni ya ndani ya kenya inayoweza kuikopesha serikali mnaiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba mwaka ujao[emoji36] [emoji36] [emoji36]
Deni za Kenya 70% ni internal kumbe wewe ni ngombe....KCB,EQUITY,COOP ndio biggest lenders to GOK
 
Povu linakutoka imf pia itakuwa yenu basi fungi tu ww[emoji1] imf inakujaje kuhoji madeni yenu ya ndani
Wanamadeni mpaka matakoni kumbe tunasifiwa thika super high way kumbe mikopoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Project zao zimegeuka kua white elephant sijui konza, tatu city sijui pinnacle na montave na lamu port zitabakia kwenye karatasi
 
Brathe wewe ndiye mshamba nani alikuambia mall ni duka...
Mtu anweza enda date, say pizza inn, then a movie at imax alafu lunch ama dinner... Hata sio lazima ufanye shopping... Mshamba ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…