Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 600
- 1,769
Tunawabeba sana hawa ndugu zetu kwenye huu ukanda lakini hawana shukrani.Footballing nation 🔥🔥🔥
Man!!! That is now beyond normal. The Chinese are rich hmn!?We nani kakwambia around those skyscrapers hakuna peace and those kinda environments.. yo China is far better compared to the rest of the world. Hangzhou City (I know you've never heard of this city before) now take a look 👇
View: https://youtu.be/wQ-sNWuronI?si=VnZvD0GwSbyKDsmk.
mwaka wa ngapi U/C?Construction is still going on. Yajayo mazuri hapa Uhuru Highway
View: https://youtu.be/bKVhsYSKs1M?si=1S0evp1Pdm_53DjH
Capital City of dust.
mnaonekana kwa kuwinda sana humu jamvini shida ni nini.Capital City of dust.
We akili auna nilisha kwambia acha ujingaCapital City of dust.
leta miradi mipya ya nchi tuone hizi picha mshaziweka humu zipo zimejaa sana
Kupost majengo ata sisi tunayo apost miradi nichekeleta miradi mipya ya nchi tuone hizi picha mshaziweka humu zipo zimejaa sana
Raha sana kuona mafaza wanawanyanyasa watu kisaikolojia namuna yee hahahahaha! Af wabongo hata hatujal kukosoana! Ila hao wajinga utasikia wanaambiana kwenye hamna "wewe sio mzalendo"Hii project ina involve alot of things such as:
1. Well development and well works
2. Marine pipelines network to shore
3. LNG terminal for gas processing to LNG
4. LNG shipping port
5. LNG storage tanks
ETC