The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Kwa nini? No way out growth rate ya Tanzania imekuwa wastani wa 3.2% na kumbuka ni exponential growth japo hapo Kuna chumvi pia.Hii hapana yaani tutakuja kupigana miti sana kama hawa northerners 😜
si doublestack tena? 😆 😆 😆 👆👆👆👆CRRC Qiche Dispatched 50 New Flat Wagons to the KRC on 5 November 2023
hapa ni kazi tu.View attachment 2843064View attachment 2843065View attachment 2843068View attachment 2843069
Mambo hayaendi mkuu 🤣🤣🤣 watu badala ya kwenda mbele, wanarudi nyuma.si doublestack tena? 😆 😆 😆 👆👆👆👆
Kenya watakuwa washafika watu 400m kwa wakati huo.
Liko wapi hili.The first super tall building in Africa with 394 meters tall na 77 floors 👇View attachment 2843113
New Cairo, MisriLiko wapi hili.
50 flat wagon kwao ni news sisi ziko njiani 1430 na hakuna mtu anayefuatilia kihivyo.Mambo hayaendi mkuu 🤣🤣🤣 watu badala ya kwenda mbele, wanarudi nyuma.
Labda watujengee ile park pale jangwani halafu hawa nyangau watufundishe tabia mbaya 🤣🤣🤣🤣Kwa nini? No way out growth rate ya Tanzania imekuwa wastani wa 3.2% na kumbuka ni exponential growth japo hapo Kuna chumvi pia.
mbona unapenda kuweka picha bila source?New Cairo, Misri