Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ile sabuni yao ya jamaa imempata mwarobain sokoni anaitwa malaika anatokea zanzibar na sabuni nyingine kibao sasa jamaa sokoni ni chaguo la nne kwa mteja.
Mzee bidhaa za kenya zitapotea kabisa anytime soon, mana uni liver ndio walikua wanasumbua, saivi naona kila baada ya miezi miwili wanafanya marketing campaigns za bidhaa zao. 🀣🀣
 
Your purchasing power ndio Iko chini. You like cheap and fake items. Jumia ilitoka Tz cause mlizoea kununua bidhaa kwa vibanda.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…polepole utaelewa tu Tanzania sio level yenu bongo hata machinga wa kawaida anatafata mzigo turkey na tena quality ya uhakika so keep hating πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee bidhaa za kenya zitapotea kabisa anytime soon, mana uni liver ndio walikua wanasumbua, saivi naona kila baada ya miezi miwili wanafanya marketing campaigns za bidhaa zao. 🀣🀣
yaani napenda moyo tulioanzishiwa wa kupenda vya nyumbani sasa ni muda wa kuwalisha kwa bei zetu kama mchina.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…polepole utaelewa tu Tanzania sio level yenu bongo hata machinga wa kawaida anatafata mzigo turkey na tena quality ya uhakika so keep hating πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuleta mzigo turkey ndio inakushangaza? Nyamakima traders go upto US, UK, France, China, Japan etc to buy goods.
 
Even France people demonstrating because of "bread "
We jamaa 🀣🀣🀣🀣unajua kwa nini france walifanya demonstration sababu ya bread? Kipindi hicho nilikua nchi jirani so don’t compare hata kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ukunya kazi kweli 🀣🀣🀣🀣
 
We jamaa 🀣🀣🀣🀣unajua kwa nini france walifanya demonstration sababu ya bread? Kipindi hicho nilikua nchi jirani so don’t compare hata kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ukunya kazi kweli 🀣🀣🀣🀣
Who asked you where you were? You can be in the neighboring country but you don't know a shit about France. So keep quiet.
 
Kuleta mzigo turkey ndio inakushangaza? Nyamakima traders go upto US, UK, France, China, Japan etc to buy goods.
Nimekupa mfano mzee mbona wabongo wengi wanaleta mizigo from all over the world!
So issue ya kutumia online platform especially kama kili mall Tanzania haiwezi!
 
Yule line 2 alikuwa ametumwa kuingamiza yanga.Kuna matukio matatu against Yanga. Alipeta ofiside ya mchezaji wa medeama maksudi,aliona ule mchezo hatari aliochezewa kibabage angeweza mshauri refa wa Kati kuwa ile ilikuwa straight red card,akarule out kuwa la kibabage ofside wakati ni halali.
 
Tz is far behind Kenya in anything commerce. Hata kwa retail space hawaezifika hata half of what Kenya does. Nimeona mwingine alisema ati sijui Afromart is bigger than any retail store in Kenya, after kumuliza the number of outlets kamepotea.
Unaeza taja retail stores za kenya mimi sijui any. 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…