ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,435
- 89,846
Iwapo kunyalazy geography ingekua inawaruhusu kujiungaSADC saa hizi wangekua washasepa,sisi watanzania tuna huruma sanaSisi watanzania ni watu wa Southern Africa, tupo hapa EA kwasababu ya huruma yetu kuwabeba watu wasio na shukurani tu, ipo siku tutarudi kwa ndugu zetu wa South.
mbona wewe usilete za kenya zikitengenezwa? umekaa kulalama kwetu ni mlima ndio ulileta dhahama na tope ndio lilileta tafrani kwenu je?Mbona hamkupost picha zenu za mafuriko humu? Mkishinda mkipost za Kenya yet now mnapost za Tz barabara zilizoharibiwa zikitengenezwa na hampost za Kenya zikitengenezwa.😂
Mimi nilidhani barabara zenu za chuma haziwezi haribiwa na mvua ya mafuriko.😂😂😂
Mnatamani Muwe kama Nairobi sana. 😂 😂
Bado mpaka waseme hata sasa bado hawajasema 🤣🤣🤣
Kama Ulaya mwanangu 🤣View attachment 2834556
Topestan side mkipata hizi mniambie
Hapo mkopo utakuja in the form of Swaraj Mazda tractors na implements zake all low quality machines deni juu ya deni 🤣🤣🤣