Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You keep correcting simple typos whenever anyone posts in English (insecurity) yet you can't post a paragraph in English. Post a whole paragraph in English to ascertain your status as this thread's grammar teacher.
Unaziita "simple typos" ha ha ha. Hivi kwa nini mnakimbilia kuandika kwa Kiingereza cha ugoko ili muonekane na nyie mpo mpo?😁
 
Miundombinu Bora ya Huduma za Afya

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1729067403881988536?t=0xpCsKm1XVnOqL-x2EBKPA&s=19
20231129_130128.png
20231129_130132.png
20231129_130135.png
20231129_130137.png
 
Huwezi kutambua kosa la lugha kama huielewi, yeye kaamua tuu kugoma kuandika lugha ya mkoloni, siyo kwamba haijui.
Wacha kufikiria kama kima. Mashabiki wa mpira wanapotazama mpira unawakuta wakisema jinsi Ronaldo au Messi alivyo ovyo, hii inamaanisha wanaujua mpira kuliko Ronaldo na Messi? It is easier to criticize what somebody else does than to do it yourself.

Your friend is stupid and petty. Mtu akiandika lean instead of learn ndio huyo anacorrect wakati humu tuko tu kupitisha wakati. Kuna jinsi mtu anavyokurekebisha unaona anajielewa, tena unaweza jua knowledge ya mtu kupitia vitu anavyofocus navyo. Huyu unajua tu ni mbumbumbu.Yani Na huo utoto wote utategemea naye ajue kutype yet hajawai type a whole paragraph kwa kiingereza.
 
Wacha kufikiria kama Kuna. Mashabiki wa mpira wanapotazama mpira unawakuta eakisema jinsi Ronaldo au Messi alivyo ovyo, hii inamaanisha wanaujua mpira kuliko Ronaldo na Messi? It is easier to criticize what somebody else does than to do it yourself.

Your friend is stupid and petty. Mtu aliandika lean instead of learn ndio huyo anacorrect wakati humo tuko tu kupitisha wakati. Yani Na huo utoto wote utategemea naye ajue kutype yet hajawai type a whole paragraph kwa kiingereza.
Na hizo ni “typo” sio? Ha ha ha. Nyie nyang’au mna matatizo ya kutokujielewa. Bado mnaishi enzi za utumwa.
 
Back
Top Bottom