Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kawe city (15km from CBD)
Kitu huwezi sogea,
NHC wameshapata mpunga wa mabilioni ya dola kufanya maajabu huku..

711 project by NHC
View attachment 635131View attachment 635132
lol.....a mere 15 km......the estate concept started in Kenya in the 1970's Nairobi has uncountable......seems like Dar is slowly starting to embrace urban civility of modern estate housing.......
 
Luanda yenyewe imejaa cranes kila mahali Yaani ndio panajengwa sahivi. ...anyway pako poa ,lakini pavute sana msuli Dar imeshasogea mahali Luanda bado
 
Katika mtu mgumu na mbishi kukubali jambo humu ni wewe,there is nobody who can win an argument with you, wewe ndio ata ililetwa Tokyo hapa utasema mnawazidi..
Tokyo tunawazidi kwa sectors zingine but generally wanatuchapa 10000-nil
 
Ivi kama Tz inamabillionear wengi kuliko Kenya mnatupitaje kwa mamillionear
Au ndo ile kama mlivyosema Tz wapata internet ni laki1.4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa anaota kweli. Yani kulinganisha dar na mombasa?? hata wenzake naamini wanamuona kichaa.. yani maneno hayo mawili dar na mombasa hayatakiwi yawe kwenye sentensi moja.
Huyo tunamjua vzr sana, taa ya oil inawaka😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…