Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo nakuambia price of Marcopolo buses assembled in Kenya.
yaani hizo tetanus au we unafanya mchezo na maisha ya watu nini yani mtandzania na hela yake uje umpandishe kwenye gari za namna hio na seti za ajabu utapiga sana harasa mpaka maji uite mma.
 
Hamna hii Tanzania mzima. Na it's more expensive than hiyo Irizar😂😂😂
View attachment 2826000
Hakuna aina ya bus ipo kenya ikakosa kuwepo Tz 👇
EZCCeyyWkAAtvS6.jpg
 
Benz is not a body. But I don't expect refugee like you to know such😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tole la ngap la kutoka germany hii?👇👇👇
Screenshots_2023-11-26-20-33-35.png
Screenshots_2023-11-26-20-33-46.png
 
Go and check the prices of Scania Touring Bus and Irizar alafu urudi tuongee😂😂😂. To make it worse mko na Irizar Moja tu while in Kenya Scania Touring Buses ziko mingi sana.
🤣🤣🤣🤣🤣 Mercedes Benz izra i6s 2019 .yaani hiyo bus wanayomiliki AZAM bei yake hii 👇
Screenshot_20231126-203530_1.jpg
while Scania touring bus 2023 bei yake hii 👇
Screenshot_20231126-203132_1.jpg
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Note hizi scania touring bus unaweza nunua 20 ndio bei ya bus ya AZAM.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Mercedes Benz izra i6s 2019 .yaani hiyo bus wanayomiliki AZAM bei yake hii 👇View attachment 2826026while Scania touring bus 2023 bei yake hii 👇View attachment 2826027🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Note hizi scania touring bus unaweza nunua 20 ndio bei ya bus ya AZAM.
Na hapo kabla ya ushuru yani ushuri tu wa ile gari ni sawa na polo za tahmeed 3 😅😅
 
Back
Top Bottom