Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nadhani hapa Kama linavyoonekana, haka kadude wakapige nyundo ndio inakaa ila ndogo halafu nyuma hapa kuna eneo kubwa lipo wazi nadhani itakaa ile tower ndefu.

Hapa ni pembeni kabisa na PSPF twin towers.

View attachment 2824911

View attachment 2824912
Uko very right kuna eneo liko wazi limezungushiwa mabati kwa sasa watu wanapaki tu magari!TRA lazima wa-make statement! Wakenya wanatujua kwa sasa hatuna pang’ang’a nyingi tumekuwa watu wamatokeo toka kuomba kilometa moja ya reli…..😛😂
 
If a poor person in US comes to Tz he automatically becomes the richest 🤣🤣😂🤣
Wewe ni mshamba sana at least leo umejua fast-food franchises meant for the poor people 😂😂😂

Screenshot_20231126-144217.jpg
 
Hawa wakenya wanaponzwa na ignorance tu mzee wangu.. hawajui chochote kuhusu mataifa mengine.. Halaf wanajitokeza nje kujitaja kuwa zaidi ya mataifa mengine. Kwahyo ni kuwadharau na kuwacheka tu .. 🤣🤣🤣
Just show me his performance in Tz. Ama kuvalishwa cow skin is something big to you? Show me his live performance in Tz.
 
The only way is to compare Tz and Kenya. Your President VS Kenya's President
Mmmh sasa mbona unataka kuharibu discussion.? 🤣🤣🤣 Nimekuuliza kwa unavyodhania wewe Kenya itakua na watumiaji wangapi huko Twitter.? Someone's Number of followers on a particular social media is not necessarily to be their country people.. diamond ana followers 16.9 m on Instagram, hii haimaanishi kwamba hao watu wote ni watanzania.
 
Diamond is an artist, meaning he is followed by people outside his country. Ruto is a president, 99% followed by Kenyans.

Kama hutaki ya president basi let's go two any TV channel between Kenya and Tz. Twitter subscriptions 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom