Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kanyaga kichwa🤣🤣🤣

20231125_194312.jpg
 
Kwa pembeni hapo TRC na wao wapige unyama
Kwenye lot ambayo sasa kuna central railway station kuna kinafasi wamekiacha wazi nadhani watajenga jengo hapo. TRC ina HQ Dodoma lakini real estate business ni lucrative Dar. Kuna fursa za kujenga offices, high-end apartments na hotels karibu na station. Pia rendering ya SGR station ya Dar inaonyesha majengo mawili.
 
I think Tanzanians are just naturally poor, their purchasing power is really low. Even 2 KFC they don't have in the entire country as of 2019, I don't know about this year.

17877973_screenshot20231117135831chrome_jpega598b976e7a111e5b8bd9ff6f590f75f.jpeg
 
I don't think if Tanzania have a middle class. Even a simple Netflix they can't afford.
Netflix subscription by country

SA 73%
Nigeria 10%
Kenya 3.9%
Tanzania 0%
View attachment 2824991
Wewe siku zote huwa unalazimisha lifestyle za nchi nyingine ndio zi-define maisha ya nchi zote. Nchi yenu watu wanahangaika na njaa lakini unajisifu kuwa mnalipa subscription Netflix. This is hilarious!

I haven’t bothered to check your information but perhaps Tanzania’s strong domestic entertainment industry, which includes locally produced films, is what keeps people from consuming foreign produced content. Lakini kuwa na Netflix subscription sio prerequisite ya kuwa na maisha mazuri. It’s a lie!
 
Actually you don't have any entertainment industry worth mentioning.
images - 2023-11-25T201544.933.jpeg
 
Lakini kuwa na Netflix subscription sio prerequisite ya kuwa na maisha mazuri. It’s a lie!
Kuwa na Netflix shows that you have more disposable income. You can't have Netflix when you don't have more money than what you need to cover for your basic needs.
 
Back
Top Bottom