It seems tentatively it can pump oil for 25 years risk free but could go beyond that albeit with some risk involved.Sijaelewa hapo Aliposema lifespan ya EACOP ni miaka 25.
Na wakati huo huo tunaambiwa kwamba huenda Bomba likaja kutumia na DRC,South Sudan na Uganda yenyewe in case ikagundua mafuta mengine zaidi.
Ufafanuzi please.
Ndivyo itakavyokuwa si tupooo
View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1727672233865146739
MY TAKE
kesho utaskia Ruto kakurupuka kwenda Spain!
Yaani kuplan estate zenu ni shida!!!
Miji mikubwa mikubwa kama Mombasa na Dubai lazima kuwe na mafuriko.Najua hutofurahi 😅😅😅😅
View attachment 2822047
Dubai ni jangwa je mombasa ni jangwa??😅😅Miji mikubwa mikubwa kama Mombasa na Dubai lazima kuwe na mafuriko.
Barabara zenu hata hazina markings alafu they are full of potholes.Roads standards za kenya bhana 🤣🤣🤣 hii sasa ndio lami ya kupaka Reborn Ktb 👇View attachment 2822390View attachment 2822391View attachment 2822392View attachment 2822393View attachment 2822394they have just painted the black color and drawing the road marks 🤣🤣🤣. Ati ndio mnataka kushindana na sisi kwa barabara
Hile ID ingine ni kama ilikuwa inakera admin sana akaiblock. But who is I came with another one bearing the same name.Naona jana mulimlisha chokaa akarudi na id nyingine ya kulia maana id zake zote ni machozi tu 😅😅😅😅
You have started a game that you won't finish. The last time you tried insulting me you ended up begging the admin to ban me from this platform. So be careful.Unato.mb.wa na wanga wewe 🤣🤣🤣🤣🤣