ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,350
- 89,771
Uzembe wa tanroad inamaana kazi ya tanroad ni kujenga au??π π π π π π na mkandarasi kazi yake nn??
Kwa hiyo nani msimamizi? Pesa ipo Wizara ya Ujenzi na TanRoads ndio Wana procure wakandarasi makanjanja Kwa sababu wanahongwa.Uzembe wa tanroad inamaana kazi ya tanroad ni kujenga au??π π π π π π na mkandarasi kazi yake nn??
Ww nae sometimes tumia akili ya kuzaliwa tu
Tanzania akili nyingi hatupendi kuburuzwaaa ovyoo.Shida ni hii STV haiwezi kuleta mafanikio bila Tanzania kuwemo ndani. We have had experience before na hawa nyangau kuiba hela za EA. Tz will not join STV mpaka tu address fully issues za security na mapato yatokanayo na STV.
hawataki kukopa tena?Wameanza kukiri hadharani sasa kuwa dafu lilikuwa linabebwa π€£π€£π€£
Their Jua kali economics costed them an arm and a leg π€£π€£π€£