Ah wapi wale ni watu wa script tuu picha nyingi hakuna jeshi pale.Wapi state of art border patrol ambao wameshindwa Dhibiti uingizaji silaha kiholela, Wapi KDF ambao wameshindwa kutumia intelligence yao kuwasaidia GSU or police.
Wapi One of Kind nyenyenye. Hao wajinga wakiona nguo za kukodi na miwani ya kuchomela vyuma wanaona wamemaliza.
Hii Bandit sipati picha ingekua bongo, RPC wa eneo pressure ambayo angepewa asingelala, plus Waziri wa mambo ya ndani asingelala mpaka iishe.
Nakumbuka MWANZA ilikua na inshu ya ujambazi, ikatoka operation kali kwishaa.
Na ni Police tu walidili nayo.
Kwahiyo unakiri hiyo ni subway sio?Iko sub - ground level.
Kichaa wewe ubishi wa kijinga usichanganye terminologies za road construction na kufanya ndio kiingereza.Acha ujinga wewe. Subway and sub - ground level are not the same. Did you say you studied at what polytechnic?
Subway is not same as subground. Go back to school.
View attachment 2819733
Delineation ya ground level, sub ground level na underground unaipatia wapi?What I have realized with these Tanzanian witches is that they are using words which they don't know their meaning.
Mtu hajui tofauti kati ya subground and underground.
Mngakuwa nazo zingekuwa zinadondoka pia Ila hamna.Mahelicopter yenu yaliyooza yanadondoka hovyo huko Wajir😁😁
So this is a ten years old Render?!!! 🤣🤣🤣Hiyo ilikuwa 2013. 😂😂😂
Hahaha kumbe unakuaga na WIVU tu kwa Tanzania, nakuona uko so proud wakati hiyo last one ulikua unasema Fake Fake Fake kisa window, na ukasema zinatoka China, now ni assembled in Kenya, Duh.The first two is fabricated from scratch, the last one is assembled.
Acha maneno wewe TPDF wananunua vitu vipya toka Airbus helicopters za kisasa sio hizo tetanus zenu.Mngakuwa nazo zingekuwa zinadondoka pia Ila hamna.
Hawa nyangau hawana chombo kama hiyo kwao hii ni catamaran class. Water buses ni ferries za kuvusha watu sio safari boats.Mv rafiki 2.. Mwanza to bukoba👇👇👇View attachment 2820158View attachment 2820159
Sura mbaya kama SimbaHere they are in denials while huko Twitter wanasifu mabasi za Kenya mbaya ajabu😂😂😂
View: https://twitter.com/TBoundBuses/status/1720384294982459449?s=19
Jamaa anaumia akiwa Kibera na bakuli la githeri.😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tulishasema tunataka Tzn iwe ghala l msosi Africa.Hapo Bado sana surveys zinaendelea kwenye mabonde na maziwa yote makubwa Tanzania nzima Ili ku set irrigation scheme.Naona kabisa 5-10 years to come, sisi tutakua hatushikiki. Hawa jamaa wataisoma namba kwa mbali mno. 🤣🤣🤣
Umeongea utumbo leo,unajua mechi ngapi za Club bingwa zimepigwa chamazi na team kutoka nje zikitumia kama uwanja wa nyumbani?Story za Simba achana nazo story ni national facility zinazosaidia wengine Africa.Mkapa imeshapita Everton,Sevilla,Brazil etc.Simba katangaza sana huu uwanja kupitia CAF CL na AFL sasa nchi nyingi za Africa zinajua kuna uwanja bora sana hapa EA. Good for sports tourism.
Comoro nao wanatumia wachezaji wenye asili ya nchi yao waliozaliwa au kukulia europe ndio maana unaona sasa hivi timu yao ya taifa inavimbiana hadi na miamba ya soka ya afrika kama ghana na ivory coastSio Comoro bro
Wanajifanya hawaoni,ngoja ni zoom waone vizuri 🤣🤣Mwizi anakimbizwa kimya kimya hakuna kelele.
Above-the-ground installations for Uganda-Tanzania oil pipeline take shape
The main contractor of the 900-mile the East African Crude Oil Pipeline (Eacop) from Hoima in western Uganda to Tanzania’s Tanga port, has also started civil works, with above-ground...www.thecitizen.co.tz