Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,217
- 35,607
Hujamjua tu huyo mnafiki,safari ya kimkakati hiyo rais wa germany alipokua TZ kuna vitu labda alihaidi so jamaa anaenda kuvutia upande wake in omba omba style 😃Kwani slave trade si ilikomeshwa 🤣
Machangu watampa rutoilet bure k zao 😃mwanza beibeee.........Dadaab refugee camp should be afraid
View attachment 2819023
It’s still early kilaza .. remember only ONE team per group qualifies and unfortunately in your group it won’t be you…I guarantee it…🤣🤣🤣🤣🤣Nakumbuka wewe ulijipiga kifua kusema kwamba kwenye kundi lenu mtawapiga wote while sisi tutafungwa hatupati mechi hata moja 🤣🤣 vipi imekuaje leo..
Swali lilikuja lililetwa na Chamoto kwamba inakuaje na Gambia nao waombe kutumia BM stadium wkt wanatoka mbali sana? Kuna siri gn kuhusu BM stadium?Japo nimechelewa kujibu sababu ya siku kuwa busy
View attachment 2819066
Wote majibu yenu ni mazuri, lkn jibu sahihi ni hilo 👆 kwenye picha
Hili shirika kwa mapendekezo yangu wafumue uongozi wote kuanzia Matindi apewe mzungu tu au muhindi sio kama nadharau ngozi nyeusi ila kama tupo serious na hii biashara tufanye hivyo.
1. Ujinga Kenya ni 10 times more than Tanzania, no wonder since uhuru mpk leo mmeshindwa kutafuta suluhu ya chakula.kwa ujinga ufukara na ushamba na hadithi za vijiweni hapo mmetushinda mara kumi...trophy ni yenu buda
Hata mimi simuelewi!Hili shirika kwa mapendekezo yangu wafumue uongozi wote kuanzia Matindi apewe mzungu tu au muhindi sio kama nadharau ngozi nyeusi ila kama tupo serious na hii biashara tufanye hivyo.
Hopeless kabisa uyo jamaa, vitendea kazi anavyo ndege nyingi anazo, route chache na bado kuna ma delay delay ya ajabu ajabu, imagine sometimes delays zinatokana na operation kukosea kosea GD na bado anawaacha tu, wale vilaza kule operation kila siku wanakosea majina ya crew inapelekea kutengeneza delays, imagine inatumika mpk dk 20 kurekebisha majina tu ya crew, delay ya 20 minutes kizembe zembe na bado watu wanaachwa, mtu anatengeneza kitu sensitive kama hicho huku anachat na simu, ukija reservation ni kawaida kukosea kosea majina ya abiria, hatuwezi kufika kwa mtindo huo, fukuza wote hao tia ngozi nyeupe subiri uone effective efficiency.Hata mimi simuelewi!
Amepewa karibu kila anachotaka! Ndege na hata viwanja bora kazi yake ni ku-manage airline kwa kutafuta new routes na alliances. Naona hilo linamshinda! '
Kama sisi tu!Hii china ni nuksi View attachment 2819217