NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,296
- 19,654
Sasa hivi Senegal imekua Bongo ama unajaribu kusema nini?😂😂Yo mkipata muda muangalie hii video, ni mji mpya wa Senegal, Damniadio, ni world class City.. kenyans muendelee kutamba tu na fake jidipii 🤣🤣.. 👇
View: https://youtu.be/gKqiyXvPJoM?si=JFg7pr7HXApgtJ6w. Watu wapo serious wakuu
Hizi ni pavement kwenye kajengo kamoja ka zamani 🤣🤣🤣🤣
I wanted to let you know that nchi zote za Africa sasahiv zinafanya miradi mikubwa ya maendeleo, Nyie mpo hapa kuturingishia pavements. 🤣🤣🤣🤣,Sasa hivi Senegal imekua Bongo ama unajaribu kusema nini?😂😂
Na siku mtakuja kuzinduka mtakuta kitu pekee mnatuzidi/mnazidi nchi nyingine za Africa ni hiyo fake jidipii tu mamaamae zenu nyie. NairobiWalker 🤣🤣🤣I wanted to let you know that nchi zote za Africa sasahiv zinafanya miradi mikubwa ya maendeleo, Nyie mpo hapa kuturingishia pavements. 🤣🤣🤣🤣,
Nchi zenye uchumi wenye nguvu hujipambanua namna hii! Toka nianze kuufutilia huu uzi hakuna mwaka Wakenya hawakulia njaa! GDP ya Kenya ukiifukunyua matokeo yake ni msiba. Ni ukweli mchungu majority ni watu fukara sana hata mlo ni mtihani kwao.
View: https://youtu.be/GIs-YbEOlpk?si=B4sqV987xHBbw78s
MY TAKE
Vitu Ukunya hautawahi ona pale Kundustan!
GDP ya tz is 80 billion........Kenya's is at 125 billion.......infact tz should be 80 minus 10 ya zanzibar.....so your big for nothing country is just at 70 or something.Nchi zenye uchumi wenye nguvu hujipambanua namna hii! Toka nianze kuufutilia huu uzi hakuna mwaka Wakenya hawakulia njaa! GDP ya Kenya ukiifukunyua matokeo yake ni msiba. Ni ukweli mchungu majority ni watu fukara sana hata mlo ni mtihani kwao.
DO YOU GUYS EVER LOOK INTO SUCH LOWLY LIFE YOU LIVE.....Such horror scenes can never be found even in ManderaNchi zenye uchumi wenye nguvu hujipambanua namna hii! Toka nianze kuufutilia huu uzi hakuna mwaka Wakenya hawakulia njaa! GDP ya Kenya ukiifukunyua matokeo yake ni msiba. Ni ukweli mchungu majority ni watu fukara sana hata mlo ni mtihani kwao.
Hizo pavement mnaweka kwa kubagua eneo au?au huku sio CBD?
Mmmmh hapana msela was serious ungeona jinsi mishipa ilvyo mtoka 😄😄May be he was joking 🤣🤣🤣
And nothing to show of that $100 bln GDP of Kenya! As usual IMF is coming to ur help arranging a $ 2 bln Eurobond !GDP ya tz is 80 billion........Kenya's is at 125 billion.......infact tz should be 80 minus 10 ya zanzibar.....so your big for nothing country is just at 70 or something.
since your overrated zanzibar was given a thorough beating by Kilifi story ya zanziba illisha huku completely....hahaha.I keep telling you that its Kenyans that are resilient are growing the economy despite all the challenges.Villages sahii are receiving influx of money and mansions and executive bungalows coming up everywhere.We dont really depend 100% on government like you guys.Over 90% of tanzanians live very miserable lives but of course you will be defensive and post kibera...suit yourselves.I care less about tanzania......i have realized mnatosheka na kitu duni sana yaani cosmetic projects which impact nothing.And nothing to show of that $100 bln GDP of Kenya!
this should worry you more....not some broken pavement in NairobiHizo pavement mnaweka kwa kubagua eneo au?au huku sio CBD? View attachment 2818051View attachment 2818052
we should introduce visa for tanzanians to come to Kenya,,,,,hahahehehe.....ccmu itawale......KENYA IS NEVER SHAKEN.HAMJUI HII NI ANNOINTED COUNTRY.....View attachment 2818053
Nimekuuliza hii ni mwanza sehemu gani hujaninibu ??😅😅😅😅😅😅😅this should worry you more....not some broken pavement in Nairobi
View attachment 2818063
DO YOU GUYS EVER LOOK INTO SUCH LOWLY LIFE YOU LIVE.....Such horror scenes can never be found even in Mandera
View attachment 2818043