We kenge if it’s a small thing why can’t you showcase such? And talking of who is poor kuna country watu wake wana suffer than kunyans?small things excite tanzanians how does bus ya azam improve the gdp per capita of 900 dollars...hehehe.i have noticed the poorest countries like tanganyika like this cosmetic display of opulence amounting to nothing..zero.
umesahau ya magufuli akiwa Nairobi Hospital
Wivu tu unakusumbua; na bado😁😁ccm stati of the ati.....hehe.ile ujinga iko tanzania
Hiki ki bus kimoja uchwara wameshaanza kelele hivi dah ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata.Mie napitia tu😅😅😅😅View attachment 2817587
Hilo ni jeshi ama border patrol 🤣🤣🤣
Njoo Tz uongeze muda wa kuishi utakufa huko kibera.niko kibera bro naumia sana
Kuna mkaka mmoja nilimsikia akisema hiyo basi ni state of the art eastafrica nzima hakuna basi deadly kama hiyo nikatabasam and my answer was sawa nimekuelewa 😎Hili
Hiki ki bus kimoja uchwara wameshaanza kelele hivi dah ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata.
Wengi wao walidanganywa na familia ya uhuru kenyatta kua wao ndio wako mbele africa nzima 😅😅😅😅😅😅 sasa leo wanashtuka wanajikuta wako 100 yrs backKuna mkaka mmoja nilimsikia akisema hiyo basi ni state of the art eastafrica nzima hakuna basi deadly kama hiyo nikatabasam and my answer was sawa nimekuelewa 😎
Daaah yaan viti vimeliwa na mchwa tayaari😢😢😢Stadium baada ya renovation 😅😅😅
View attachment 2817719
Labda haziogelei u kupaa....Naomba kujua excuse yao saiz ni nn?
Tujikumbushe tulipotoka
- Tuoneshe 1 km ya reli
- Tuoneshe 100km ya reli
- Tuoneshe electrical catenary
- Kwa umeme upi
- Tuoneshe train zitakazokuja (general)
- Tuoneshe EMUs/bullet trains/joka
- Tuoneshe double deckers
- Tuoneshe kipande cha bandarin
Last time niliona wamehoji nauli.. wanasema watanzania ni mafukara hatuwezi kuziafford
Saiz sijui wako kwenye hoja gan
CC: mwaiofhawaii mpumbavu wa ukoo wa Sadima stay ur lane!Mie napitia tu😅😅😅😅View attachment 2817587
Huyo Teargas ni nyang’au wa kuonewa huruma tu.Now who is delusional hapa 🤣🤣🤣🤣
Naona wameshajijibu tayari.