Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,150
- 33,032
Ni nyang'au mpumbavu sana😁😁View attachment 2816807
Huyu jamaa ana wivu sana na Tanzania, Kila anayoweka kuhusu Tanzania lazina aihusishe na kitu kibaya. Hafanyi hivyo kwa Kenya wala nchin nyingine za Afrika.
Aende aka collect faecal specimen ndio kazi anayoijua lakini sio ku comment kwenye vitu vya engineering.Msamee huyo kichapo ni kikali mno anashindwa akimbilie wapi. 🤣🤣🤣
Huyu muongo muongo alitaka kutuaminisha Dodoma SGR Station ina canopy leo anataka kutuaminisha kuwa SGR inapita mtaroni mwache tumyoroshe kwanza hakuna huruma hapa.Wabongo muwe na huruma, mnatembeza kichapo hadi jamaa wanatafuta pakujibanza 🤣🤣
LNG na ports modernization pia.Kwanza hao Jamaa wametaja miradi michache sana
-Sgr ya Kigoma -Bujumbura
Mradi wa bwawa la Kidunda over 300bln
-Mradi wa bwawa la Farkwa Over 300 nln
-Mradi wa Maji Miji 28 Dola mil.500
-Mradi wa Vyuo Vikuu HEET Dola mil.450
-Miradi wa Maji Songea zaidi ya 160bln
-Miradi wa Maji Mbeya over 170 bln
-Miradi wa Maji Ruangwa-Nachingwe over 150bln
- Umeme wa jua Kishapu zaidi ya 100bln
-Ujenzi wa meli Mpya zaidi ya 360bln etc
Hapo Bado projects Moja Moja za Barabara ni nyingi balaa,viwanja vya ndege, Airports ,mashule,mavyuo ya Ufundi, Bandari, Irrigation schemes,nk nk
LNG Bado sana Iko kwenye Makaratasi.Ni Moja ya projects I wish to happenHuyu muongo muongo alitaka kutuaminisha Dodoma SGR Station ina canopy leo anataka kutuaminisha kuwa SGR inapita mtaroni mwache tumyoroshe kwanza hakuna huruma hapa.
LNG na ports modernization pia.
Huwa mara nyingi wanajinasibu humu ndani kuwa sisi tunauwezo wa kulipa madeni yetu ila sasa hivi wanapiga magoti Bretton Woods na bakuli zao.🤣🤣🤣🤣🤣 failed state
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1725521673548435732?t=V9chP6elIxFBzwVCRNqB9w&s=19
Jamaa wamekuwa wapole sana saizi 😆😆
This is NgaraParklands Nairobi
View attachment 2814836
LNG FID ni early next year mkuu baada ya HGA ambayo inasainiwa this December kama sikosei.LNG Bado sana Iko kwenye Makaratasi.Ni Moja ya projects I wish to happen
Before hiyo LNG tuna
-Elsewedy Industrial Park
-Mkuranga Industrial Park
Hizi mbili ziko under construction
Utataja aje Eastleigh kwenye sentensi moja na Kijiko ya nyama yenye ghorofa tano kando ya barabara moja?Haka kaCBD ya gohrofa tano kando ya barabara haijawai ongezwa maghorofa. Hata Eastleigh na South C zikona ghorofa mingi kuliko hii CBD bandia ya ghorofa tano. 😂 😂 😂 😂
I told him the other day that this is Ngara. He insisted it's ParklandsThis is Ngara
Huyu mapenzi anayajua kweli zaidi ya kitabu?
i like how they are busy fishing for anything negative from kenya from our facebook pages,twitter opinions,grapevine platforms and posting over here while we dont bother with doing the same about their impoverished country.Big up Kenyans,let them wallow in their sludge while we continue working and making moves without screaming from rooftopsUtataja aje Eastleigh kwenye sentensi moja na Kijiko ya nyama yenye ghorofa tano kando ya barabara moja?
Sasa wewe unasherekea mafuriko Mombasa? Nikuletee picha na video za dreamhouses zikinyimwa amani na mafuriko huko Dar?Yaani hii ndio Mombasa ambayo nyang'au wanatamba hapa kuwa ni jiji bora ulimwenguni? Khaa😁
View: https://m.youtube.com/watch?v=7a42w6zr5vk
Atumie ata mapsI told him the other day that this is Ngara. He insisted it's Parklands
Exactly. Hapa ni kuwafurahisha tu. Hakuna battle hapai like how they are busy fishing for anything negative from kenya from our facebook pages,twitter opinions,grapevine platforms and posting over here while we dont bother with doing the same about their impoverished country.Big up Kenyans,let them wallow in their sludge while we continue working and making moves without screaming from rooftops
Sasa nyie nyang'au kuna haja gani ya kudai eti Mombasa ni moja ya majiji bora ulimwenguni?😁Sasa wewe unasherekea mafuriko Mombasa? Nikuletee picha na video za dreamhouses zikinyimwa amani na mafuriko huko Dar?