hawa hata tukicheza vipofu tunawaramba tu.....kwa umbeya na hadithi za vijiweni hiyo wametuzidi.Lakini ikifika live live wanaona Kenyans kama gods.,,,Hiyo ni last time tukiwafanyia unyama AFCON
Can't you see they are fake T-shirts? Even those who received them are complaining that they are fake.Toka kwenye usingizi uje uone vitu realπ π
View: https://twitter.com/BrayanBigshot/status/1482291215441842182?t=2AmZPC7Ff45yG6XypFclow&s=19
Kazi nilipata Kitambo sana.Ukiona hivi ujue kameshapata kazi, hapo kanakuchokonoa ili ukaulize kuhusu job kakulingishie, nakajua vzr haka kajamaa π€£π€£π€£π€£
Ati underground railway? Mnapenda kuchochwa sanaπππ
Mzee wa kulilia na vijisababu visivyo na kichwa wala miguu π€£π€£π€£.Can't you see they are fake T-shirts? Even those who received them are complaining that they are fake.
And fake azimio also π π π π πCan't you see they are fake T-shirts? Even those who received them are complaining that they are fake.
Nikuoneshe ?? Cargo SGR itapita chini kwa chini kutokezea port of darAti underground railway? Mnapenda kuchochwa sanaπππ
Wenzako wameona tunnels zikitengenezwa ndio mana wanasema, yani wanasema walichokiona wewe upo hapo kubishana kima wewe.. haya kula chuma hicho πAti underground railway? Mnapenda kuchochwa sanaπππ
Usingemuonesha kwanza ungemuacha kwanza akasimamia kucha alaf tumuekee pilipili kichaa kwenye kijambio π π π πWenzako wameona tunnels zikitengenezwa ndio mana wanasema, yani wanasema walichokiona wewe upo hapo kubishana kima wewe.. haya kula chuma hicho π
View: https://youtu.be/Z_09X5wNr5Q?si=u2cF9z1asbykMh4s.
Tungeenda Afcon na tungewanyorosha tu kama kawaida. Nyinyi ni wateja wetu wapendwaSasa hata kama mngecheza mechi za kufuzu kwa matokeo hayo mnayopata mngeenda AFCON ya kibera labda π€£π€£π€£π€£π€£
Huyo mjinga wa extended canopy kulikuwa hakuna haja ya kutumia silaa nzito hivi kumpiga πππWenzako wameona tunnels zikitengenezwa ndio mana wanasema, yani wanasema walichokiona wewe upo hapo kubishana kima wewe.. haya kula chuma hicho π
View: https://youtu.be/Z_09X5wNr5Q?si=u2cF9z1asbykMh4s.
Uliza FIFA watakuambia nyinyi ni number ngapi na sisi ni number ngapi kwenye rankings zao kisha urudiMumpite nani wkt ligi tu haichezwi huko kwenu π€£π€£π€£π€£π€£
Ungemyorosha nani na team huna au utatumia waganga ??ππππTungeenda Afcon na tungewanyorosha tu kama kawaida. Nyinyi ni wateja wetu wapendwa
So CAF huitaki au??π π π π πUliza FIFA watakuambia nyinyi ni number ngapi na sisi ni number ngapi kwenye rankings zao kisha urudi
Imagine mpaka huu mradi wa SGR una miaka zaidi ya minne lakini bado wakenya wengi hawaujui kabisa, vipi kama wao ndio wangekua wanajenga mradi mkubwa hivi duniani kote wangejua laiti wangejua tu nusu ya miradi inayoendelea Tanzania kwa sasa wangeandamana mwezi mzima kuiondoa serikali yao madarakani, napenda jinsi wanavyoidharau Tanzania sababu watakuwa surprised siku wakiona mambo kwa ground na watajidharau sana
Hawa wajinga muda wao uliisha kitambo sana ndo maana 99.99% ya vitu wanaongelea ni vitu vilivyo pita tu. πππUngemyorosha nani na team huna au utatumia waganga ??ππππ
Shidaangu mimi nae sina subra, nilivyoona adui amejitokeza tu nikammiminia/nikamchakaza risasi nyingi sana punde tu alivyotokeza komwe lake π€£π€£π€£. Mniwie radhi wakuu kesho nitasubiri hadi tumteke awe mateka kwanza kisha tumuue kidogo kidogo, tuanze kumkata kata kama nyama buchani. π€£π€£π€£ Ili apate uchungu wa umauti wa kiwango cha juu sana. π€£π€£Huyo mjinga wa extended canopy kulikuwa hakuna haja ya kutumia silaa nzito hivi kumpiga πππ