Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama hakuna mtu anapanda basi mbona investors wa Tz wanazinunua? Ama hii sio number plate ya Tz?πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 2815855
We kijana naona umerudi? Naona ulijifungia kutafuta bus wiki nzima. Unataka kusema huku bongo tutaishobokea hiyo.


Alafu nikuibie siri, Bongo bus pia zinaenda na plate number, hata kama bus lako ni kampuni kubwa tunaangalia Number, now tupo E unasema DLE tupande ruti ya mkoani?

May be hizo za kijijini mpakani na kwenu.
 
Kama hakuna mtu anapanda basi mbona investors wa Tz wanazinunua? Ama hii sio number plate ya Tz?πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 2815855
Wewe nyumbu nilishakwambia hakuna Kampuni yeyote ya Tanzania inaweza nunua scrapper Kunyaland.

Aliharibu huyo Master eeh baada ya watu kugundua ni vyuma chakavu kutoka Kunyaland wakaacha kupanda kapotea road πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Tunanunua vitu Piruu vitu quality kama hivi πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…