Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawawezi kupewa kazi Tanzania, mchujo ni mkali balaa, sio tu mkenya hata mtanzania kama hutoki hilo eneo la mradi (locality) na huna NIDA usahau ajira πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe mpuuzi wa wapi? Hawa wapumbavu watahujumu mradi!
 
Wadhamini kutoka Mwenge Bus Stand πŸ”₯πŸ”₯

Kunyaland wangeita International iconic mall of Nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2815476View attachment 2815477View attachment 2815478
Serikali yetu inajenga miundo mbinu kuanzia kuwapa ahueni watu wa hali chini,shida inakuja kwenye kuziendesha na kuzitunza,ile stand ya daladala mbezi luis ni nzuri sema sasa uchafu,uongozi wa mikoa na manispaa wangekua wanapewa watanzania walioshi nje ya bara la afrika si chini ya miaka 5 at least wangefanya jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…