mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,603
- 6,975
Mmebaki kuvaa miwani ya wachomelea vyuma na kutwanga foto. Wakitokea al shabab mnasambaratika, ha ha ha😁😁
Au siyo 😂😂😂😂Chanzo ni Magufuli utake usitake.
Vijumba vidogovidogo wakati your second city doesn't even come close🤣🤣🤣 Vujumba vidogodogo kibao+industrial area bembeni ya CBD 🤣🤣🤣 the city of it's kind on earth.
Kwenye high-rise buildings walisha give up kitambo sana. Wamebaki tu kupost picha za Kibera kujifariji nayoMbona walipita hii kimya kimya? 😂 😂 😂
Render wakati ujenzi unaendelea. Kujifariji rukhsaHakuna mbongo kilaza humu mjomba. Hatuwezi pigizana kelele na render
Nyumba za nyasi in such a rich agricultural land like this! You'll never find such in Kenya. Typical of LDCs
Nyumba za nyasi in such a rich agricultural land!
📌📌🔨🔨 Nature ndio imetufanya tutambulike.Nyumba za nyasi in such a rich agricultural land like this! You'll never find such in Kenya. Typical of LDCs
Geuza Ulale, hakuna cha wivu hapa wala nini. We were told in the beginning that it's a logistics center and we were reminded how Kenya will lose logistics business to Tanzania. All of a sudden tunaambiwa sasa eti mall na kwamba it will be the biggest in the region. Please bongolalas, stick to one storyline for consistency.Wacha wivu! FACT IS Hamna mall kubwa namna hiyo in the whole of Ukunyani!