Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiona hajakujibu, sio kwamba ameishiwa hoja, wote wako gizan mda huu.. kesho hali ikikaa sawa atakujibu na pumba nyingine

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1723395862317912219?t=UMGZLQLdkS80lm6YsdPv1w&s=19
 
Na Anaziita Beautiful, comfortable and Exciting Teargas

Alafu mbishi eti hatuna Bus huku,

Mpuuzi sana huku Bongo kila mkoa kuna Tajiri kamiliki chuma zake za kupeleka watu mikoa Mingine na wanaweza kua zaidi ya wawili.


Sasa huyo muulize Turkana Super beautiful, comfortable na exciting nani anazimiliki.
 
Safi sana, pambana na Google l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…