Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama una shida na Mwenyekiti wetu ichoboy01 nipo mimi Bwana Shemeji Mwai………bottom line ni kwamba dadako kaishashoboka na wabongo na lazima tumpe raha utake usitake😂😂😂😂

Ebu njoo kwanza DM tuongee kikubwa😜
 
Mna miaka 500 kufikia football ya TZ,hao wakenya wenzako wakijidai na Yanga yao,binafsi siijui hata jina la timu 1 toka kundustan
Tanzania ni kama maji, hata usipoyaoga utayanywa tu. Huwezi kuishi ukandaa huu alafu Tanzania isiwe relevant kwako, kwa namna yoyote ile utaihiitaji tu, uwe mwanasiasa, mfanyabiashara, au hata mwananchi wa kawaida, Tanzania itakugusa tu utake usitake. Ila Tanzania ndio nchi pekee ukanda huu ambayo inaweza kusurvive by its own, a very self sufficient country!!

Nani anabisha???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…