Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,731
- 107,175
Hii drilling kwenye hicho kisima Cha Tai-3 ikifaulu kupata gas basi tutakuwa na reserves kubwa sana.
Wiki Jana kisima Cha Mbelele-1 walitangaza kupata gas ya kutosha.
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1722210366149824598?t=58O8R5C07tmYeN2sqmm5IA&s=19
at least mmejua kupaka rangi nyumba!Tanzanians hawajawahi jua hii. TILISI City. Growing by the dayView attachment 2807895View attachment 2807896View attachment 2807898View attachment 2807899
what special? R u trying to say the whole of Tanzania has no such primary schools?A primary school in Kajiado
View attachment 2807900View attachment 2807901View attachment 2807902View attachment 2807903
Failed state 😂😂😂😂😂Cost of living maybe cheaper in TZ, but on the contrary, you have to live in LDC Tanzania 😂 😂
Unahamia TZ, after a few months unarudi nyumbani na asthma juu ya vumbi.
Wanasema CBD yao ni kubwa halafu ukiwaonyesha sehemu za hiyo CBD wanazikataa. Sasa ukiondoa hizo sehemu si basi CBD yao itatoshana na ya ELdoret. 😂 😂 😂Si cbd wakati the three blue towers are clearly visible?!
Hizi mabati roofing nazo ni kigamboni?View attachment 2807882
Geza acha mchezo!what special? R u trying to say the whole of Tanzania has no such primary schools?
Ndanda Sec kama Ikulu ya Nairobi 😂🤪A primary school in Kajiado
View attachment 2807900View attachment 2807901View attachment 2807902View attachment 2807903
Ndanda Sec kama Ikulu ya Nairobi 😂🤪
View: https://twitter.com/BwanaShilingi/status/1721879383965610151?t=JuqorQbGzMH8GrA_q9rJKg&s=19
Hatuna devolution na construction of such quality buildings, water supply lines n roads is allover Tanzania!Kisumu.
Lami kila kona. Kitu Dar inaota kila siku
View attachment 2807910
View attachment 2807911View attachment 2807913
Hiyo Ofisi ya Gavana vs Ofisi ya DED in Wanging'ombe DC-NjombeBecause of devolution, development is spreading all over Kenya. This is Bomet
View attachment 2807907View attachment 2807908