Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The ship was built on a civilian frame 🤣🤣🤣 ujinga huu na vichekesho kama hivi utavipata Kenya tuu. It used to be a trawler.
 
Kitu kikubwa tofauti kati ya Tanzania na Kenya ni marginalization, huku ni Kunyaland na hili ni janga kubwa lakini hutoona hii kama breaking news kwenye mainstream media zao hata inawezekana waziri wa maafa asiliongelee sababu sio wakikuyu wala wakalenjin or maybe wajaluo, Kenya ni nchi ya ******* sana imbalance ni kubwa sana baina yao, Tanzania issue kama hii ikitokea mpaka VP na PM wangukua site by now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…