Wacha sisi Tz tuendelee kuwa hapa EA ili tuwe kama kioo cha wao kijitazama na ku up their game.Region ya kisenge sana hii, can you imagine region nzima hakuna electrified railway, hakuna BRT wala approved stadium by CAF na wala hakuna representative wa CAF tournament itakayofanyika mwakani, hii region imelaaniwa wallahi, watanzania tuna kila sababu ya kutojihusisha na hii region ya kipuuzi tusije laaniwa na sisi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
NakuruWhere is this one located?
Hajawahi toka nje ya Mukuru kwa Njenga huyo achana nae akija kushtuka wanapakana na first world aka Western Europe na hapo mipaka yote tutakuwa tumeshapiga electric fence na surveillance cameras.Utapingana na ukweli mpaka lini? Kila siku tuna share articles zinazotuweka mbele yenu kwa mambo yote hayo aliyotaja coodip1 ifike wakati accept truth zen move on hutakufa.
SGR imesuswa Suswa 🤣🤣🤣Sasa jirani sijui tumsaidieje maana alikurupuka Kabla ya ushauri eti anataka atobozee Gabon kwa SGR, wakati aliyojengewa imeishia suswa, mchina kamwacha solemba na bakuli mkononi
Sasa ni muda wa maokoto kwa Mchina umewadia 😁Sasa jirani sijui tumsaidieje maana alikurupuka Kabla ya ushauri eti anataka atobozee Gabon kwa SGR, wakati aliyojengewa imeishia suswa, mchina kamwacha solemba na bakuli mkononi
Kwani wewe hujui Tanzania inaongoza hapa EA kwa financial inclusion na pia financial diversity.Show me any news placing tanzania ahead of Kenya on financial services sector
Show me any news placing Tanzania ahead of Kenya in the aviation industry
Show me any news placing Tanzania ahead of Kenya in ports and port operations
Show me any news article placing Tanzania ahead of Kenya in power generation and usage
Haya ni baadhi ya mambo mwenzako alisema Tanzania is building her modern economy on.
Ukijubu hayo maswali then we'll start to have a conversation
Hapa mmeonesha technically how urgently you all need that food aid from UK 🤣🤣🤣 officers wanadondoka njaa mbele ya mufalume 😂😂😂
View: https://vm.tiktok.com/ZMjtRLtQg/
Nilisahau hii ngoja niiongeze kule.Kwani wewe hujui Tanzania inaongoza hapa EA kwa financial inclusion na pia financial diversity.
Mombasa hakuna logistics bora za kupokea mzigo huu wa pipeline. Through Tanga port mizigo itasafirishwa na reli ambayo inapita along the pipeline route hence easy and fast implementation of the project with minimal cost compared to Mombasa route plus pipeline coating facility ipo Nzega zile pipeline za Ugandan section zItasafirishwa from Nzega by train to Mwanza port for onward shipping to Ports in Uganda.Hakuna bomba litatumika bila kufanyiwa coating Tanzania Coating Plant located at the pipeline’s midpoint
Kutoa bomba Mombasa kulileta mpaka Nzega kwenye coating facility ni umbali zaidi ya kilometers 200 tofauti na kutoa Tanga to Nzega
View attachment 2800285
View attachment 2800280
Nakuru sawa ni street gani inaitwa ??🤣🤣🤣Nakuru
Afadhali hata ingekua SGR yenye tija labda modern one, wameenda kuletewa train za 100 yrs ago na wao wanashangilia 🤣🤣🤣
Hapa mmeonesha technically how urgently you all need that food aid from UK 🤣🤣🤣 officers wanadondoka njaa mbele ya mufalume 😂😂😂
View: https://vm.tiktok.com/ZMjtRLtQg/