Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣 Nimefurahishwa ngoja nikupige mwana ukome.. kasarani stadia haina proper sists, majority ni hizo vigoda. Unaona hapo chini 👇🤣🤣🤣 again, tofauti ya ulichopost ni quality of the pictures .. otherwise hakuna chochote cha kulinganisha between those two stadias.. anyways heb ona facilities zenyewe.. ours 👇vs yours 👇🤣🤣🤣 Dah .. again Mkapa stadium ndani 👇vs Yours 👇🤣🤣🤣 heb tafuta kazi ufanye, hivi vitu vinajieleza kwa macho tu.
 
You think we have a military base there for nothing… we train their Army and special forces for nothing?…. We know how to execute a mutual foreign policy…. We are there to protect Kenya’s interests….mpende msipende..
WE ARE ALWAYS 10 YEARS AHEAD OF ALL THESE JIRANIS OF OURS....
 
🤣🤣🤣 Mzee lame excuse yako ya viti kupauka ni ya kipuuzi big time, Viti vya kasarani ni vipya na vimewekwa mwaka huu huu, Mkapa stadium haina renovation ya hivyo vitu since uwanja uzinduliwe 2007 . Ni 16 years now unategemeaje visipauke.? Wait kuna renovation kubwa inaendelea nadhani itaisha mwaka ujao mapema tu viti vyote vinang'olewa na kuwekwa vipya.
 
99.9 % OF THESE Tanzanians trust you me have never travelled outside tanganyika.....lets just forgive their ignorance.Everybody is telling them the obvious but they play tomfoolery
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
this dar thing is just Mombasa,,,no difference at all.The overrated zanjiba also received a beating from Kilifi....hehe.poor tanganyikans,who bewitched you
 
Small section na upperhill inaonekana 🤣🤣

Nimecheka kama mwehu 😅😅😅😅😅
 
Asante kwa picha za zamani
 
Sasa unajifurahisha na nini? Yaani unajua ukweli lakini roho inauma.
Unaona hivi viti vilivyo pauka!? HAPA NI YOUR OVERRATED MKAPA


Na hii hapa Kasarani
 
Kumbuka Kasarani nayo kuna renovation kali. Ujue tena ulipewa KDF. Jamaa waliounda Uhuru Gardens Nairobi. Mtajua hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…