Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So hili povu lilikuwa la nini!
So now zinafanana!

Tofauti yako na kondoo ni harufu tu.
 
🀣🀣🀣🀣 We jamaa ni kilaza mkubwa sana, sasa nani kakwambia buses za Tz hazina booking offices zao.? 🀣 Yo, buses zote ziko na booking offices na many of them zinaanza safari kutokea kwa hizo offices zao.. unataka ushahidi we kima.? ilifkiri ukija huku uta escape Kichapo.? 🀣🀣.. we kubali tu mpo nyuma yetu then move on.. kwa wingi wa hizi booking offices hamtuwezi, kwa hizo bus terminus hamtuwezi..

Nimeona unauliza eti inawezekana vipi bus kuwa crowded in a single station.? 🀣🀣 Ikawaje mkajenga green park international ultra modern bus terminal.? 🀣🀣..
 
Sasa hii ni Bomu..., onesha nyingine?...,

🀣🀣🀣 We jamaa ni kiande kweli we si ulikataa Mwanza wewe.? 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…