We do our stuff silently
Even most Kenyans in here don't know all of the projects under construction. Most people focus on the citiesView attachment 633110
Mioundombinu hiyo inayoboreshwa ni pamoja na bomba la Ruvu Chini lenye urefu wa Jumla ya km 55 ambapo hadi sasa km 52.6 zimekamilika na zimebaki km 2.4 ili kukamilisha mradi huo ambao utasaidia kusimamia moja ya sentensi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ya βKuwatua akina mama ndoo za maji kichwaniβ
Off topic kidogo
Main passenger terminal ..nearly complete at Songwe International Airport, Mbeya
thank you ndinda...watu wapo site msee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Yeah, Even us, LOTS OF PROJECTS IN TZ TOO
see our Water project here
Just look at the pipe size
Hata pedestrians bridges hazikuwepo itakuwa flyoversJamani enhhh collo anatuambia fly over ya kwanza kenya ilikua 1970 ππππππππ
Yaani hawa jamaa ni wepesi sana battle hawawezi. Sasa hivi wanalialia tu.umemjibu vizuri sana.
tatizo hawa jamaa huwa hawazijui silaha tunazotumia katika hii battle.
wao kila siraha wanayojaribu kuitumia ili kutu-naturalize inafeli.
kwa mfano walijaribu kutumia silaha ya kutuita LDC,hii imeshindwa kuleta effect kwasababu tuliipokea lakini baadae tukaigeuza kama sehemu ya kukubari kuwa kweli sisi ni LDC na wala haitumii kuwa hivyo.matokeo yake kila wamapotuita LDC sisi hatuonyeshi kukasirika.
ila sisi tukiwawekea wao picha za kibera wanakasirika sana....wanatoa machozi mengi mithiri ya mtoto mchanga.
naona siku hizi wamehamia kwenye siraha ya kutukusoa kuhusu kingereza.hiyo nayo imefeli.tunawachakaza hivo hivo na broken english yetu.[emoji23] [emoji23]
waibie siri kuwa moja ya siraha zetu tunazotumia kuwalegeza miguu wanapojaribu kujitutumia ni zile picha za kibera kwasababu tushatambua ni namna gani zinawatesa kila tunapo zi upload.[emoji23]
Hii ilikua mwaka jana November Bro, Project done.thank you ndinda...watu wapo site msee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mkuu, tafadhari kama inawezekana tuletee picha za kutosha za hapo Green city,Off topic kidogo
Main passenger terminal ..nearly complete at Songwe International Airport, Mbeya
lol..acha waje tusikie njaro zao.View attachment 633233
Kenya bado mnatembea na aya madaftari au mmesha iga Tz KUWA na electronic DL
Hahaha Bado yanatumika ndugu hayoView attachment 633233
Kenya bado mnatembea na aya madaftari au mmesha iga Tz KUWA na electronic DL
mashallah...hakika hii sio tz ya 90s.Hii ilikua mwaka jana November Bro, Project done.
Hehe collo naona anakichwa dafuππππHata pedestrians bridges hazikuwepo itakuwa flyovers
Alaf utaskia wanakwambia mambo ya IT wako mbeleππππππππView attachment 633233
Kenya bado mnatembea na aya madaftari au mmesha iga Tz KUWA na electronic DL
Na cha mwanza wanajenga kwa kasi sana wachina wako mzigoniOff topic kidogo
Main passenger terminal ..nearly complete at Songwe International Airport, Mbeya
Itoshe tu kusema kuwa Mwanza International Airport ndio runway ndefu zaidi Tanzania.Na cha mwanza wanajenga kwa kasi sana wachina wako mzigoni