Kwikwikwikwi. Hivi dogo maendeleo maana yake ni nini? hebu ondoa ushamba wako wa Kiberasawa, lakini usilete flyover tena hapa na kuiita maendeleo...utanishangaza..flyover ni barabara tu...tofauti ni kuwa imeinuliwa juu kwa kutumia pillars...Africa zipo zaidi ya 100
75b, 84b, 90b, 100b, tupe miaka tano, sisi tulitoka LDC for a reasonπππππππ 100b itabakia ndotoni tena ndoto ya alinacha
pole sababu naona umeumia...Kibera ina uhusiano upi na madaπππnarudia tena, flyover Afrika zipo zaidi ya mia moja...hata nchi kama Somalia zipo...flyover ni barabara tu iliyoinuliwa kwa kutumia pillars...ππKwikwikwikwi. Hivi dogo maendeleo maana yake ni nini? hebu ondoa ushamba wako wa Kibera
nadhani unaelewa maana ya neno hilo...ila pengine nikukosoe kidogo...kuna maendeleo ya kuleta kwa battle kama hii ama ya kujivunia na kuna maendeleo ya kuficha chini ya mkeka....sio kila uchao ukinunua chupi mpya unakimbilia kuwaalika wageni msherehekee kwa vifijo na nderemo kisa chupi mpya haina shimo...πππNimekuuliza maendeleo maana yake ni nini? Kijana wa Kibera.
kenya mlitakiwa muwe donor country.[emoji23]SGR yetu imemalizwa tu 2017 na hio ni aibu kubwa sana.
kwikwikwi. Ndio tatizo lako sasa. Tunapambana mimi na wewe halafu unataka unishagulie silaha ya kukupigia. Je, nikikuita mwehu nitakuwa nimekosea?nadhani unaelewa maana ya neno hilo...ila pengine nikukosoe kidogo...kuna maendeleo ya kuleta kwa battle kama hii ama ya kujivunia na kuna maendeleo ya kuficha chini ya mkeka....sio kila uchao ukinunua chupi mpya unakimbilia kuwaalika wageni msherehekee kwa vifijo na nderemo kisa chupi mpya haina shimo...πππ
sijui sasa ila nadhani message imefika...flyover=chupi mpya=nothing to celebrate aboutπππhizo tabia za kujipendekezakwikwikwi. Ndio tatizo lako sasa. Tunapambana mimi na wewe halafu unataka unishagulie silaha ya kukupigia. Je, nikikuita mwehu nitakuwa nimekosea?
alhamdulilahi vipi mseng.e aggressive?ππnaona ume land kwenye battle toka democratic republic of LDCππ kama vipi chupi za ngozi vipi?kenya mlitakiwa muwe donor country.[emoji23]
kwikwikwi kama hebu angalia kwanza thread hii ipo na views ngapi? Halafu jitafakari wewe kisha uje hapa. Vilevile soma thread hii inahusu nini isome na uielewe. Halafu ujue niliandika thread hii na kuku tag wewe. Naona umezidiwa umeanza kujitoa ufahamu. Vipi dogo umekula lakini? Au umekuja kuleta messages?sijui sasa ila nadhani message imefika...flyover=chupi mpya=nothing to celebrate aboutπππhizo tabia za kujipendekeza
Mlitoka LDC kwa makaratasi sio kiuhalisiaππ75b, 84b, 90b, 100b, tupe miaka tano, sisi tulitoka LDC for a reason
Maneno ya mkosajiflyovers, port expansion and vibandas...this is what Tanzanians term as serious development...πππππsaddening really...these things Kenya had them more than 10 years ago and not just Kenya, many countries have these things....miafrika bana tunatia huzuniπππ yaani mtu anataka asherehekee mpaka ujenzi wa flyover? Mungu wangu! ukimruhusu hata atasherehekea jinsi alivonunua chupi mpya hivi majuzi...ππππ
Ulifkiri flyover inajengwa na majani au???? Unajua sometimes bro hua sikuelewi hebu tuliza akili ππflyovers, port expansion and vibandas...this is what Tanzanians term as serious development...πππππsaddening really...these things Kenya had them more than 10 years ago and not just Kenya, many countries have these things....miafrika bana tunatia huzuniπππ yaani mtu anataka asherehekee mpaka ujenzi wa flyover? Mungu wangu! ukimruhusu hata atasherehekea jinsi alivonunua chupi mpya hivi majuzi...ππππ
Leo ukame wa njaa unawaendesha miezi 7 hawana suluhisho lolote watu na mifugo inakufa kukosa chakula alaf anakwambia wako DC...ajira kwa vijana hakuna, below povert line kenya iko high kuliko nchi yoyote afrika masharikiKenya hamna food security, no ajabu kujiita D.C. ilifaa msolve ilo jambo kwanza nakuondoa excuses zisizona msingi!!
Well Tz watu wengi hawajishughulishi ipasavyo,tatizo me makazi duni nahata chakula wakati mwingine ni taabu kwa wale wasiojituma ,Sera ya kilimo kwanza ingekaziwa tungekua mbali sana...
Sera ya viwanda ilifaa iende sambamba na kilimo Yaani kama chupi na tako! !
Ilifaa wajikite katka kutafuta suluhu u mambo hayo...watanunua mahindi hadi lini na ardhi wakonayo....mifugo itakufa hadi lini mwishowe waanze kuvuka boda tukiikamata waanze kuleta maneno manenoLeo ukame wa njaa unawaendesha miezi 7 hawana suluhisho lolote watu na mifugo inakufa kukosa chakula alaf anakwambia wako DC...ajira kwa vijana hakuna, below povert line kenya iko high kuliko nchi yoyote afrika mashariki
sawa ndugu nimetuliza.ππ.wewe nakuskiza sana..ila mambo ya kusherehekea vitu vya kawaida tafadhali usifate mkondo huo....mchanue huo mshamba anayeimba imba flyover kwa niaba yangu broππUlifkiri flyover inajengwa na majani au???? Unajua sometimes bro hua sikuelewi hebu tuliza akili ππ
Pole zako tunakataa kaa nazoPoleni sana wakenya
View attachment 632737
nimependa hio statement...ila kwa food scurity, bila shaka ni wanasiasa wetu wanatuangusha...yaani kwa sasa kunafaa kuwa na dam kubwa kule maeneo ya Marsabit na Turkana itakayotumiwa kuzalisha chakula na kusaidia mifugo wakati wa kiangazi...kama tu sio ufisadi uliokithiri na kusheheni ktk serikali ya Kenya, wakenya ni watu wenye bidii sana...hatukufikia hapa tulipo EA largest economy kwa kukaa chini...tulipigania especially since hatuna rasilimali tele...hivyo hilo jambo la food insecurity nakubaliana nawe ailimia 101...Yaani kama chupi na tako! !
The first flyover in 2018???1. Flyovers
2. Bandara expansion
3. Uwanja wa ndege
4. SGR
5. Dar es salaam metropolitan development project (DMDP)
6. Free Education
etc......