Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazima itajengwa huwezi acha ikiwa tayari 14T zimepotea ,kuacha ni hasara mara 2.

Unfortunately kwenye mawe ya Msingi jina la Samia litaonekana hiyo legacy yenu itakufa mtakapojufa nyie ila historia itamuandika Samia.
 
Lazima itajengwa huwezi acha ikiwa tayari 14T zimepotea ,kuacha ni hasara mara 2.

Unfortunately kwenye mawe ya Msingi jina la Samia litaonekana hiyo legacy yenu itakufa mtakapojufa nyie ila historia itamuandika Samia.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Sio ombi ni lazima afate na atekeleze alioyaacha mwamba sio ombi narudia ni lazima unajua kwann kwasababu kazi iendelee sio isimame lahasha

Hakuna mtanzania mjinga sasa hvi watanzania wote wanajua a to z πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Alishasema mapema kwamba Sgr ingekuwa mwanzoni ingeachwa ila kuwezi acha 14T zipoteee.

Tushaingizwa Cha kike na Mwamba wenu Hatuwezi kula hasara mara mbili but tutatekeleza Kwa spidi tinayotaka na sio vinginevyo.

Mwisho kabisa Samia anawapelekea moto Hadi mnapoteana,ndani ya miaka 3 she has an austanding performance as a game changer πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Haha, wanajaza stadium to watch amateur African football.
Ujinga tupu.
Watu wafanye kazi.
 
Alafu kuna wajinga wanakuambia eti fainali ya AFCON itachezeka kwao, hawaoni jinsi tunavyojiandaa 4 years before the tournament tayari tushaanza maandalizi, wao maandalizi yao ni render alafu wanaweka na vineno "oohh my goodness, this talanta football stadium will be the best ever" 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…