Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Ugua pole my dear ugly sister. 👇Raisi wa Bongolala akijaribu sana labda akutane na Museveni.
I don't think she knows there's even a meeting in China.
Ruto cha kwanza ni kutafuta waekezaji.
Serikali ya China ni secondary, and he has indeed met Xi today.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1714621420297212187
Uliwah kujiuliza kwann alivoapishwa Xi jinping safar ya kwanza akaja tanzania ushawah jiuliza hilo swali ??😅😅😅😅😅Raisi wa Bongolala akijaribu sana labda akutane na Museveni.
I don't think she knows there's even a meeting in China.
Ruto cha kwanza ni kutafuta waekezaji.
Serikali ya China ni secondary, and he has indeed met Xi today.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1714621420297212187
Hawa nyang'au wana upuuzi fulani ambao ni vigumu kuuelewa😁Uliwah kujiuliza kwann alivoapishwa Xi jinping safar ya kwanza akaja tanzania ushawah jiuliza hilo swali ??😅😅😅😅😅
pesa ipo na mumeuza dar port..smhThe difference between Tz and Your country is , Tanzania got Cash to undertake even 10 new modern stadia at once , pesa ipo na uwezo upo. Your government is as broke as Djibouti.
closed bila picha ni uwongo! tunataka udhibitisho wa mtu bee!! 😀😀Raisi wa Bongolala akijaribu sana labda akutane na Museveni.
I don't think she knows there's even a meeting in China.
Ruto cha kwanza ni kutafuta waekezaji.
Serikali ya China ni secondary, and he has indeed met Xi today.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1714621420297212187
Uliwah kujiuliza kwann alivoapishwa Xi jinping safar ya kwanza akaja tanzania ushawah jiuliza hilo swali ??😅😅😅😅😅
Na pia kwa nini 2008 Beijing Olympic Torch Ulipita The United Republic of Tanzania Pekee kwa Africa? 😎🤣🤣🤣Uliwah kujiuliza kwann alivoapishwa Xi jinping safar ya kwanza akaja tanzania ushawah jiuliza hilo swali ??😅😅😅😅😅
Juu hii ni video?closed bila picha ni uwongo! tunataka udhibitisho ya mtu bee!! 😀😀
Mmeingia mkataba usio na ukomo 'no expiration date' na hauna vifungu 'clauses' zozote za kuuvunja huo mkataba.kufuata the rule of law yaani arbitration na si kubadili sheria kirejareja wakati mikataba inalindwa na sheria za London/kimataifa! Ule ulikuwa Ujuha kufikiria hawatamsakama!
Mzee kwa Africa Tanzania ndio rafiki mkubwa wa China kuliko nchi yoyote kutokana na kitu Tanzania ilichoifanyia China UNJuu hii ni video?
View attachment 2785653