NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,305
- 19,663
I see you highly criticizing past governments yet during their era ilikuwa misifa tupu.Hata JPM alikosa maarifa jinsi ya kuitoa Tanzania kwenye hiyo mikataba! Tena tutalipa sana fidia kwa ukurupukaji wake!
All villages in Kenya have electricity. Unataka aweke picha za village zote ama azitaje zote kwa Majina? Remember Kenya has hundreds of thousands of villages.Ndio nabii Ruto anavyowadanganya nyie mafala si ndio? 🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1714476402752266531?t=lxRr6O2HlMs3cqqwz4n-OQ&s=19
Onyesha hapa Villages za Ukunyani Zenye umeme sio kutokota kama uji
Maji Yako wapi? Tuko kwenye hoja ya maji ,leta hapa villages Zenye majiAll villages in Kenya have electricity. Unataka aweke picha za village zote ama azitaje zote kwa Majina? Remember Kenya has hundreds of thousands of villages.
Wewe ni mpumbavu! Nionyeshe mahali nilisifu uvunjaji wake wa mikataba usiozingatia sheria!I see you highly criticizing past governments yet during their era ilikuwa misifa tupu.
Yaani humu kwenye shelf za supermarket zetu nikionaga chochote chenye ile tick natupa kule 🤣Dah hili taifa UN waangalie namna wanaweza kulifuta au waliondoe karibu yetu, Kunyaland ondokeni haraka
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1714264354919477449?t=_TCn166dwfdN0KWIMs9HzQ&s=19
Hao siyo wajomba zetu, ukiwachekea unakula mabua. JPM alikuwa sahihi, ni bora ulipe faini kidogo lakini nchi iwe huru kwa vizazi vijavyo kuliko kuendelea kuwa mtumwa.Hata JPM alikosa maarifa jinsi ya kuitoa Tanzania kwenye hiyo mikataba! Tena tutalipa sana fidia kwa ukurupukaji wake!
Kweli me pia iyo campen tuanze umu ndani akuna kununua bidhaa yenye chapa ya kebusi alafu tuone nani mbabeYaani humu kwenye shelf za supermarket zetu nikionaga chochote chenye ile tick natupa kule 🤣
Tumia brain sio kukurupukaHao siyo wajomba zetu, ukiwachekea unakula mabua. Ni bora ulipe faini lakini nchi iwe huru kwa vizazi vijavyo kuliko kuendelea kuwa mtumwa.
Watu wenye wenye akili ndiyo wanaelewa hili, we unafikiri ni hasara kiasi gani Putin ameipata kwenye sanction na loss of life (and equipment) baada ya kuanza SMO? Lakini ukilinganisha na gharama ya utumwa angeipata (miaka na miaka) kama asingewawahi neo nazi, hiyo sacrifice ni ndogo sana.
Tuliambizana kaka hahaaaaaaNina mda sijafatilia update ya SGR Progress Video. Kumbe kipande cha Morogoro-Makutupora almost kimeisha.
Video ya September hii
View: https://youtu.be/zSauMyOI2eU?si=HR6CwmdHCztNsbB6
Mkurupukaji ni wewe unayewatetea Nato na wapalestina wakati mmoja.Tumia brain sio kukurupuka
Angalau unajua nembo ya kebs inavyokaa, kuonesha bidhaa kutoka kenya zimejaa kwenye supermarkets zenu.. wengi wetu huku hatujui hata nembo ya Tanzania standardization inavyo fananaYaani humu kwenye shelf za supermarket zetu nikionaga chochote chenye ile tick natupa kule 🤣
Yapo mkvndvni mwako.Maji Yako wapi? Tuko kwenye hoja ya maji ,leta hapa villages Zenye maji
We Geuza udinywe nimekuwa na wewe Tangu enzi zile Skyscrapercity. Kwako Tanzania was always right and never wrong. Usijifanywe umbwa hapa hivi.Wewe ni mpumbavu! Nionyeshe mahali nilisifu uvunjaji wake wa mikataba usiozingatia sheria!
Kama maji Vijijini hakuna basi Tulia hapa kwenye waya 👇Yapo mkvndvni mwako.
The only shit available ni Blue Band tu which is also not yours, usijifariji eti zimejaaa 🤣 🤣 🤣, Tuliona hadi T shirts za SGR yenu zina logo ya TBS.Angalau unajua nembo ya kebs inavyokaa, kuonesha bidhaa kutoka kenya zimejaa kwenye supermarkets zenu.. wengi wetu huku hatujui hata nembo ya Tanzania standardization inavyo fanana