Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Btw, hii render bado wanaipost humu ama walishachoka?🤣🤣
Ni nani anapost hiyo render au when was the last time umeona kuna mtu kapost hiyo render.? 🤣🤣🤣 Unafkiria sisi ni nyinyi wenye u have nothing to show kila siku mnapost render and express way.?
 
Unalinganisha vipi pangani interchange na Ubungo interchange mzee.? Kwanza huko kwenu kunakaa vumbi mtindo mmoja.
Bongolala, angalia mazingira ya pembeni kama alvyokusudia mwenzako. Unaona yanafanana? Moja Kuna uswazi pembezoni nyingine kuna planning ya makazi na nyumba za maana pembezoni. Dar bado sana Kwa Nairobi bongolala
 
Mjogomba heb cheki mazingira yanayozunguka Ubungo interchange,👇 and by the way. It's 13km away from CBD kusho na kulia kote ni mitambo ya umeme tu, kule ni BRT depot, TBS na incoming EA's biggest mall U/C .. kushoto juu ndio mini uswazi.. kwa umbali huu ni better than hiyo takataka ya pangani in the middle of the city+ vumbi jekunde all around.
 
Sasa mjomba hapa nini cha ajabu ulichopost chenye unadhani Tz hakuna.?
 
Onesha gorofa moja tu Mbezi yenye 20 floors.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…