ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,481
- 89,900
Kunyalazy wao vitu kama hivi uwa wanafikiria kuviweka naimavi tu,subiri uone kama hii post yako awajaijibu kwa picha ya expressway
Kitambo ilikuwa eti northern Kenya haina barabara. Sasa wimbo imebadilika. Mtasumbuka sana mibongolalalaRoad again, hao watu wa northern Kenya wanaishi barabarani?
If you show them houses next they will ask wanalalia nini?…. They would wanna see the beds…… typical low IQ Bongolalas….I have come to realize Bongolala is not an identity but a mental disorder and Best 007 is the carrier…🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kitambo ilikuwa eti northern Kenya haina barabara. Sasa wimbo imebadilika. Mtasumbuka sana mibongolalala
Hii habari haijakaa sawa.
Yani uwanja umechezewa watu maarufu kina KAKA' wa Brazil, kina Eto'o, kina Drogba na sasa wanakuja watu mashuhuri kutazama game alafu eti fainali isichezwe hapo ipelekwe katika kijiji kinachoitwa Entebe, nani kasema.
Yeah... a fewHiiii wadi degla sports club uko na pictures zake?
Huyu FIFA president ndani ya mwaka anakuja mara ya tatu! Kuna watu walikuwa wanapinga Hoteli in proximity to Lupaso stadium na huku kuna Sabasaba grounds na bandari in proximity pia!Yani uwanja umechezewa watu maarufu kina KAKA' wa Brazil, kina Eto'o, kina Drogba na sasa wanakuja watu mashuhuri kutazama game alafu eti fainali isichezwe hapo ipelekwe katika kijiji kinachoitwa Entebe, nani kasema.
Kijiji cha nairobi sijakiongelea mana Kenya haitoandaa AFCON 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
These people are just delusional. That's the best way I can describe themIf you show them houses next they will ask wanalalia nini?…. They would wanna see the beds…… typical low IQ Bongolalas….I have come to realize Bongolala is not an identity but a mental disorder and Best 007 is the carrier…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanakuja kwasababu ya influence ya Al Ahly sio nyinyi makapuku mnao fungwa na Kenya kwa miaka 15. Endeelea kujifariji utapoa tu!Yani uwanja umechezewa watu maarufu kina KAKA' wa Brazil, kina Eto'o, kina Drogba na sasa wanakuja watu mashuhuri kutazama game alafu eti fainali isichezwe hapo ipelekwe katika kijiji kinachoitwa Entebe, nani kasema.
Kijiji cha nairobi sijakiongelea mana Kenya haitoandaa AFCON 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ndio Ile inaitwa TKO?😆😆😆😆Wanakuja kwasababu ya influence ya Al Ahly sio nyinyi makapuku mnao fungwa na Kenya kwa miaka 15. Endeelea kujifariji utapoa tu!
True.Hii steel flyover ingekuwa Dar humu ungekuwa unaskia kila mtu eti 'Hakuna kiricho Kenya kisicho Bongo'" 🤣 🤣