ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,459
- 89,882
Lakini ndiyo tupo AFCON sasa, ukilia we lia mpaka uzimie lkn ukweli ni kwamba tupo AFCON na nyie hampo na hata AFCON inayokuja hamtokuwepo π€£π€£π€£π€£π€£Hapa sioni mkishinda timu yoyote. Labda mjikakamue mpate draw na Zambia.
Chamoto hawezi kukuelewa! Swali ni kama kwenye utalii wa mbuga na fukwe tunaruhusu wawekezaji kujenga mahoteli, mbona kwenye utalii wa matibabu tusiruhusu wakina Apollo wajenge mahospitali ya kisasa na kuleta madaktari bingwa? Hii maneno ni zaidi ya uelewa wa Chamoto!Safari ya Tanzania kuwa medical Tourist cente inaendelea kama ifuatavyo π
View: https://www.instagram.com/p/CyS6TyVMhgH/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Sukuma gang wako desperate na legacy kufunikwa so Huwa sihangaiki na mapovu Yao ππ
Kikubwa tumefuzu na tumeweka record, hayo ya kufungwa hayatuhusu.Lakini ndiyo tupo AFCON sasa, ukilia we lia mpaka uzimie lkn ukweli ni kwamba tupo AFCON na nyie hampo na hata AFCON inayokuja hamtokuwepo π€£π€£π€£π€£π€£
Haya, wachana na percentages sasa calculate the difference between the nominal GDPs alafu uone ulivyo mjinga. Small percentages on a huge figure create a very huge gap. Ask yourself why developed countries are not among the fastest growing economies yet some of them record an increase of more than $500B a yearOna hili lodilofa la Shakahola linavyojifariji ππ
Kunyaland - Increasing at decreasing rate harafu unajifariji ππππ
Ni ndogo on absolute values na sio kwenye growth rates.Tanzania tuko na $85B na twende Kwa Mwendo huu huu harafu tukutane 2028-2030View attachment 2780536
Nimekupa hiyo trend,the fact of the matter ni kwamba we are bridging the gap.Haya, wachana na percentages sasa calculate the difference between the nominal GDPs alafu uone ulivyo mjinga. Small percentages on a huge figure create a very huge gap. Ask yourself why developed countries are not among the fastest growing economies yet some of them record an increase of more than $500B a year
Kwa hivyo if one city contributes more to a country's GDP the country has a higher income gap? Tokyo contributes 30% of Japan's GDP, Seoul contributes 25% of South Korea's GDP. Nairobi contributing 27% of Kenya's GDP is where income gap arises?Such income gap ndio sababu mnaongoza Kwa kuwa na slums Dujia nzima na ulivyo kiazi unajisifia ππ
Bora Johas Sasa Kwa Kunyaland ni 90% ππ
You have been bridging the gap since 2003 ππππππππππππππππππNimekupa hiyo trend,the fact of the matter ni kwamba we are bridging the gap.
Tukutane 2028-2030