Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Yani haina utofauti na kinoru yet itaanda afcon🤣🤣🤣Ulitaka uwe na capacity gani mkuu.? 🤣🤣🤣 Ulidhania sisi tutaeka concrete pekee halafu tukisie capacity like you have done to your national stadia.? 🤣🤣🤣🤣
Bartender🤣🤣🤣More of Tanzania Finest Wine.
Our very own The Truck Driver From Manhattan mwaiofhawaii toa order tukuletee mzigo toka kwa your very own The Godfather Bwana Freedom, acha kunywa mataputapu ya huko US😅😅
View attachment 2774940
Benjamin mkapa 60,000Talanta stadium 60,000
Kasarani stadium 60,000
Nyayo stadium 30,000
Vs
Benjamin makwapa 60,000
Zanzibar stadium 15,000
Arusha/Dodoma 30,000
Jokers🤣🤣🤣🤣
I've had to cut the long story short.. 🤣🤣🤣 unataja uwanja wenye watu wanakaa kwenye concrete, juu umeezekwa na mabati ya south 👇Yani haina utofauti na kinoru yet itaanda afcon🤣🤣🤣
Imebidi nicheke 🤣🤣🤣 iyo capacity ya kasarani 60k umeitoa wapi manzee while watu huko kasarani wanakaa kwenye concrete .? 🤣🤣🤣Talanta stadium 60,000
Kasarani stadium 60,000
Nyayo stadium 30,000
Vs
Benjamin makwapa 60,000
Zanzibar stadium 15,000
Arusha/Dodoma 30,000
Jokers🤣🤣🤣🤣
Hivo viwanja vidogo mtaanda cecafa 🤣🤣🤣🤣Benjamin mkapa 60,000
Zanzibar stadium 15,000
Dodoma stadium 30,000
Arusha stadium 30,000
Ww hapo unajiskiaje 🤣🤣🤣🤣🤣
So far viwanja vilikubalika na FIFA ni viwili east africa do u know them???😅😅😅😅
Sasa hii ndio level ya Zanzibar stadium mnataka iandae afcon 🤣🤣I've had to cut the long story short.. 🤣🤣🤣 unataja uwanja wenye watu wanakaa kwenye concrete, juu umeezekwa na mabati ya south 👇View attachment 2774954.. 🤣🤣🤣
Non of your stadia qualifies CAF standards 🤣🤣🤣🤣🤣. Dah .!!Sasa hii ndio level ya Zanzibar stadium mnataka iandae afcon 🤣🤣
Sijakataa wala kukukatalia umuhimu wa uwepo wa hoteli mahala hapo. Hata mbugani huko hoteli bado nyingi sana tena za gharama kubwa zinaitajika - vipi Serikali ijitose nako ijenge Hoteli, right?Temeke inahitaji facilities kama hizo kumbuka kuna several exhibitions in a year pale sabasaba pia bandari ipo karibu. Board of external trade walijaribu JPM akawakataza! Tembea duniani uone hotels zipo karibu na viwanja vya michezo na exhibition centers!
Still looking for funds 😁Hii upuuzi yako nilikua sijaiona mzee 🤣🤣🤣 Tunavyoongea hivi sasa Mkapa stadium and Amani stadium in Zanzibar zote zipo kwenye renovation kubwa ya maana... Vipi kuhusu nyinyi.?
I can order my Kenyan wine either made in Kenya or the USA… I have a choice … wine za Bongo am not interested..🤣🤣More of Tanzania Finest Wine.
Our very own The Truck Driver From Manhattan mwaiofhawaii toa order tukuletee mzigo toka kwa your very own The Godfather Bwana Freedom, acha kunywa mataputapu ya huko US😅😅
View attachment 2774940
Kwani nani kakuambia serikali za majiji haziruhusiwi kuwa na uwekezaji? Most city hotels around the world ni investments za serikali za town/city municipality! Hawaziendeshi bali wame-partner au kukodisha! Temeke Jiji wanataka kufanya kilichofanywa na Dodoma Jiji, tatizo nn?Sijakataa wala kukukatalia umuhimu wa uwepo wa hoteli mahala hapo. Hata mbugani huko hoteli bado nyingi sana tena za gharama kubwa zinaitajika - vipi Serikali ijitose nako ijenge Hoteli, right?
Kwa hali inavyoendelea hawa majirani si wa kutegemea! CCM Kirumba una nafasi ya kutoa uwanja wa 60,000 capacity! Halafu juzi zimetolewa fedha za jengo jipya la abiria Mwanza airport! Na SGR ya Mchina itakuwa tayari!CCM wajitahidi kufanya renovation ile CCM kirumba stadium mwanza na pale wakieka budget kama 10b to 15b itatoka kitu ajab vibaya sana kanda ya ziwa kuna mashabiki wengi sana wampira
huko Temeke kama kulivyo sehemu nyingi nchi kuna changamoto nyingi sana za kijamii kwa municipality kutumia kiàsi kikubwa cha fedha kujenga hoteli. Tungejikita kwanza kwenye vumbi, uchafu, vituo vya Polisi vichafu, vyoo vya shimo, mafuriko, masoko machafu. Tungeelekeza hela nyingi zaidi kwenye huduma za kijamii na kutafuta wawekezaji kwenye miradi ya namna hii.Kwani nani kakuambia serikali za majiji haziruhusiwi kuwa na uwekezaji? Most city hotels around the world ni investments za serikali za town/city municipality! Hawaziendeshi bali wame-partner au kukodisha! Temeke Jiji wanataka kufanya kilichofanywa na Dodoma Jiji, tatizo nn?
Ujuaji wako unakosa logic always! Ile ni investment ambayo ina nafasi ya kurudisha fedha! Kinondoni wamejenga Bus stand na uwanja wa mpira! Temeke wanajenga hotel! Endelea kupiga kelele!huko Temeke kama kulivyo sehemu nyingi nchi kuna changamoto nyingi sana za kijamii kwa municipality kutumia kiàsi kikubwa cha fedha kujenga hoteli. Tungejikita kwanza kwenye vumbi, uchafu, vituo vya Polisi vichafu, vyoo vya shimo, mafuriko, masoko machafu. Tungeelekeza hela nyingi zaidi kwenye huduma za jamii na kutafuta wawekezaji kwenye miradi ya namna hii.
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1700506895662850344