Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aaah wapi!
Watanzania hawawazi kukujibu huu upuuzi umetaka kujua ila mimi nitakupa tu kidogo utoe tongo tongo. 🤣🤣🤣. CCM wako na majengo ya makao makuu ya chama Chao katika kila mkoa hapa Tz yani 31 regions.. siwezi kuyapost yote I'll share with you some.. then ukiweza kutoka huku ndio tujadili.. kabla niendelee ona kwanza hii their conference center in DOM Tz .. hizi nazo ni CCM HQ in few regions .. 👇 DAR hq.. DODOMA HQMwanza HQZanzibar HQTanga HQhizi ni kati ya properties chache CCM inamiliki. Siwezi post ofisi za CCM zote za kila mkoa, kila wilaya, kila kata, kila mtaa .. 🤣🤣🤣 we ishia hapo tu .. unaweza hii battle tuendelee.?
 
Sijakataa wana ofisi kila mkoa, swali linasalia, mali hiyo yote ukiweka pamoja ni ngapi!?
 
Indian's most prestigious humanitarian award in Mumbai went to Kenya's first lady Mama Rachel Ruto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…