NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,325
- 19,699
Hawa ni vichaa. I've come to realize Tanzanians have the most sheep mentality of all countries in Africa. A random person can begin a random narrative on the internet and within days, every Tanzanian is singing it and believes it. 😂 😂You didn't initiate the bid, ni mdomo tu mko nayoView attachment 2768411
😀Mwambie mwenzio The Best 007 atupe support leo maana iwe jua iwe mvua lazima mnyama apite kwa kishindo 😁
😂 Sheep mentality indeedHawa ni vichaa. I've come to realize Tanzanians have the most sheep mentality of all countries in Africa. A random person can begin a random narrative on the internet and within days, every Tanzanian is singing it and believes it. 😂 😂
Hakuna mtanzania hata mmoja aliesema kwamba eti sisi ndio tulienda ku initiate habari za Afcon we kima.. usilishe watu maneno kwasababu mmekula kipigo cha mbwa mwizi. 👇Hawa ni vichaa. I've come to realize Tanzanians have the most sheep mentality of all countries in Africa. A random person can begin a random narrative on the internet and within days, every Tanzanian is singing it and believes it. 😂 😂
Mm nitaisapot Simba leo mana ikishinda tutapata heshima kubwa kama nchi ila ikifungwa hautakuwa msiba kwangu. Kila la heri wanalunyasi.Mwambie mwenzio The Best 007 atupe support leo maana iwe jua iwe mvua lazima mnyama apite kwa kishindo 😁
Congo KDF inafanya nini?KDF Special Forces ….. Haiti here we come… if it wasn’t for the flag… one might assume they are US special forces … ( though they train and equip us)..View attachment 2767996
Sasa ni kushift goalposts kama kawaidaHakuna mtanzania hata mmoja aliesema kwamba eti sisi ndio tulienda ku initiate habari za Afcon we kima.. usilishe watu maneno kwasababu mmekula kipigo cha mbwa mwizi. 👇View attachment 2768464hii ndio kitu all Tanzanians in here we agreed to. 🤣🤣🤣 Haya kunya jembe sasa
Looking at your screenshots, I can't help but laugh. Mnazi mmoja is a garden (bustani in Swahili)and it separates Posta from Kariakoo. So in essence, bado upo tu maeneo yale yale ya Kariako/Posta.Mnazi mmoja
🤣🤣🤣Sasa mbona hii eastleigh bado sana.. unaijua. Ilala.?Looking at your screenshots, I can't help but laugh. Mnazi mmoja is a garden (bustani in Swahili)and it separates Posta from Kariakoo. So in essence, bado upo tu maeneo yale yale ya Kariako/Posta.
This just vindicates me in my earlier statement. Jiji lenu ni Posta na Kariakoo and to some extent Upanga. Kando ya hapo hakuna lingine. Ni vijumba viwili vitatu hapa na pale na hizo nyumba zenu za uswazi mnazopenda sana
Take a look at Eastleigh below and you'll understand what I am trying to sayView attachment 2768503
Density ya concrete jungle kama hiyo huwezi kuipata popote Africa mashariki na katiMnazi mmoja
Ilala tu size yake 👇Looking at your screenshots, I can't help but laugh. Mnazi mmoja is a garden (bustani in Swahili)and it separates Posta from Kariakoo. So in essence, bado upo tu maeneo yale yale ya Kariako/Posta.
This just vindicates me in my earlier statement. Jiji lenu ni Posta na Kariakoo and to some extent Upanga. Kando ya hapo hakuna lingine. Ni vijumba viwili vitatu hapa na pale na hizo nyumba zenu za uswazi mnazopenda sana
Take a look at Eastleigh below and you'll understand what I am trying to sayView attachment 2768503
Looking at your screenshots, I can't help but laugh. Mnazi mmoja is a garden (bustani in Swahili)and it separates Posta from Kariakoo. So in essence, bado upo tu maeneo yale yale ya Kariako/Posta.
This just vindicates me in my earlier statement. Jiji lenu ni Posta na Kariakoo and to some extent Upanga. Kando ya hapo hakuna lingine. Ni vijumba viwili vitatu hapa na pale na hizo nyumba zenu za uswazi mnazopenda sana
Take a look at Eastleigh below and you'll understand what I am trying to sayView attachment 2768503
Huu nao ni uwanja wa AFCON??Shabana vs AFC leopards at Ulinzi sports complex
View: https://twitter.com/officialMoraaT/status/1708465074535362730?s=19
Ona taahira hiliKenya haina mpizani yeyote ukanda huu…facts!!!