Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tayari tunao uwanja usio na running track na unatumika kwa mechi za CAF, hata timu zenu kama zingekuwa na uwezo wa kufika mbali zingetumia huu uwanja, sasa nioneshe wewe uwanja wenu ambao hauna running track.
 
This stadium is just average. A recent stadium that looks like this is nothing to talk about. Any serious stadium to be constructed for the AFCON games will easily beat this concrete monstrousity in quality.
So, kwahiyo umekubali kwamba mpaka sasa hakuna kiwanja bora zaidi ya hicho hapa EA.

Na nikuambie tu rekodi ya kujenga kiwanja bora zaidi ya Mkapa tutaivunja wenyewe kama kawaida yetu.
 
We were going to do it alone anyway but we were approached by our brothers on joint bid hence there was no reason of us being selfish so we agreed for the sake of spirit of EA.
Wacha Ujinga…😄😄
 
Hii michoro tu nyie bila foreigners hamna kitu.Kila kitu kizuri Kenya ni foreigners ndio wanaown kwa vile hakuna foreigners anaweza kutoa fedha kujenga uwanja mtakuja na vitu vya ajabu ajabu
Siku zinapokaribia za AFCON naona Tanzania anakwenda kubeba mzigo wote wa AFCON peke yake maana sioni seriousness kwa hawa wenzetu. Kwanza hela ya kula siku mbili taabu ndio itakuwa yakujenga viwanja vipya?
 

Attachments

  • Screenshot_20231001-130105_Opera.jpg
    57.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231001-130121_Opera.jpg
    53.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231001-130138_Opera.jpg
    32.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231001-130150_Opera.jpg
    26.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231001-130258_Opera.jpg
    24.8 KB · Views: 3

Attachments

  • Screenshot_20231001-125708_Opera.jpg
    62.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231001-125728_Opera.jpg
    50 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231001-125745_Opera.jpg
    34.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231001-125817_Opera.jpg
    37.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231001-125834_Opera.jpg
    47.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…